Saa ishirini na nne za Nusrat Hanje kutia doa Mihimili mitatu ya Nchi

Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.

Tuwe tu wakweli saa nyingine

Ukiwa na mawazo haya utauza nchi wewe
Maana utatoa excuse kama hii pindi ukiwa vitani ukashikwa mateka na adui, kisha wakaipiga nchi yako na kukusimika wewe uwe mtawala kibaraka utawale kwa niaba yao!
 
Filamu za ovyo nchi hii huwa haziishi.Hii ni nyingine tena,tena waongozaji hawajataka ata kuihariri angalau itizamike kwa wenye akili timamu.Alafu walioifanya ni wasomi kabisa wa nchi hii.Kuna mambo ukiyaangalia vizuri unaweza kuona hii nchi nikama bado tuko kwenye ukuaji kifikra.
 
Ila kwa kweli ki ubinadamu, mtu yoyote angakuwa amevaa viatu vya nusrat hanje asingekubali kukaataa ubunge na kuendelea kusota jela.

Tuwe tu wakweli saa nyingine

Mkuu usichanganye haya mambo maana utafikia hitimisho batili. Hakuna aliyetaka Nusrat kuendelea kubaki jela, na kila mtu anataka ubunge. Lakini unapokubali kuupata ubunge kwa kukiuka msimamo wa chama, hapo inakuwa umejijali binafsi. Huyo dada angeitikia wito wa kamati kuu utetezi wako ungekuwa na mashiko. Tusichanganye huyo dada kukaa jela, na kilichofanyika kwenye huo ubunge maana tunapoteza mantiki.
 
CCM maboya sana yaani hii ishu imewapaka mavi kinoma
 
Ukitaka kumuua adui yako kirahisi deal na mke wake..........(Enyi waume ishini na wake zenu kwa akili)
 
Huwa wanatumia uji kufikiri Hawa jamaa, wametuaminisha wapinzani wanapinga maendeleo wapinzani wanachelewesha maendeleo Leo wamebakia pekee yao ajabu wanatumia tena nguvu kubwa kulazimisha wapinzani waingie bungeni hapa tuwaelewe vipi nn wanataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…