Serikali yenyewe inapewa mlungula maisha yanaendeleaIla sababu ni serikali kutoingilia kati.
Yatakiwa iwekwe sheria
Siku za kusoma ni 5 pekee
Muda wa kusoma mwisho saa 8
Ratiba ifuatwe
Walitaka kunifanyia hivyo kwa mtoto wangu ndio darasq la kwanza. Nikwaambia anzeni na wale wa mbali ndio mmalizie wa karibu, sio mnazungusha watoto masaa ma 2.Jana wangu wa miaka mi 3 naambiwa gari lake la sa moja lime change route kwahiyo natakiwa nimuandae sa kumi na moja na nusu awe tayari...halafu kurudi sa kumi na mbili na nusu jioni........ Dereva nimemwambia haiwezekani,mwenye shule nimemwambia kama itashindikana aende shule nyingine.
kuna watu sijui wanawazaga kwa kutumia nini?Ungemuacha ajiropokeshe
Shule za karibu hamna?? 🤔🤔🤔🤔Rwanda wanabadili muda wa watoto kwenda shule ili wapata angalau muda wa kunywa japo chai na wazazi wao hiyo taabu inamkuta mwanangu anatoka nyumbani 11:30 kigambon mpaka mikocheni aliko pangiwa shule jana kafika shule saa 1:30 mwalimu mkuu kamchapa mpaka kamtegua mkono na anajua changamoto aliyo kua nayo mtoto aliambiwa anakaa mbali
Kwangu school bus ndo rahisi...ila ikiwa ngumu nitatafuta shule nyingine tu.Kwanini usitafute mtu wa kumpeleka?
Mbona Wahindi hununua gari kwa ajili ya kupeleka mtoto shule?
Huyo anatakiwa aende day care lakini kwa bongo day care wanachanganywa na wa primary huko kwenye usafiri. Day care zinatakiwa kuanza saa 2 na kuendelea😄😄 Kama anaongea vizuri unadhani atakaa nyumbani kufanya nini....
Fanya mazingira ahame shule.Rwanda wanabadili muda wa watoto kwenda shule ili wapata angalau muda wa kunywa japo chai na wazazi wao hiyo taabu inamkuta mwanangu anatoka nyumbani 11:30 kigambon mpaka mikocheni aliko pangiwa shule jana kafika shule saa 1:30 mwalimu mkuu kamchapa mpaka kamtegua mkono na anajua changamoto aliyo kua nayo mtoto aliambiwa anakaa mbali
Zipi hizo za wote mkuu, kuna watu hizo tabu za jiji haziwagusi kabisa.Kama huna pesa huku unakuona kuchungu japokuwa kuna zile taabu ambazo ni kwa wote haijalishi una pesa or not.
Huko Daycare penyewe watoto wanapigwa haswakuna watu sijui wanawazaga kwa kutumia nini?
eti katakua kazee ka darasa wtf.!!!!
si tumesoma kipindi mko la kwanza darasani kuna mibaba ina miaka hata 15 mnasoma nalo halafu fresh tu, ye anataka kusema nini?
wanawadumaza tu watoto! mtoto kama hana akili hana tu!! mi nmesoma sikuwahi kwenda tuition na bado nikapasua Marks ambazo waliokua wanashinda tuition hata kuzikaribia hawakukaribia..
mtoto asome katika umri sahihi na misingi sahihi zingine hizo mbwembwe tu!
Hizo ranking bora ziondolewe, halafu tunatakiwa kuwa na system ya continued asessment. Sio hii inayotumika kwa sasqWapumbavu hao wazazi
Na ndicho shule binafsi imeleta
Wangu ananambia teacher kasema kupupu nyumbani....kususu shule..... Nikamuliza ukibanwa akasema kwenye gari nyumbani..... Ni kweli usemayoHuko Daycare penyewe watoto wanapigwa haswa
Wakijisaidia ni kifinyo
Kuna mmoja kila siku analia
Wakwangu hasomi tution, wala weekend hakuna kushika madaftari ya shule. Labda asome vitabu vya hadithi etcKweli halafu ujue Kuna katoto la std 1 kanasoma tuition [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wenzetu kwa mfano Finland, watoto waanaanza kujifunza kusoma na.kuandika wakiwa na miaka 7. Chini ya hapo wanaenda kujifunza mambo mengine mpaka akili zikomae. Sasa huku kwetu yalaa, chekecheq mtoto anasoma mambo makubwa kuliko uwezo wake.kuna watu sijui wanawazaga kwa kutumia nini?
eti katakua kazee ka darasa wtf.!!!!
si tumesoma kipindi mko la kwanza darasani kuna mibaba ina miaka hata 15 mnasoma nalo halafu fresh tu, ye anataka kusema nini?
wanawadumaza tu watoto! mtoto kama hana akili hana tu!! mi nmesoma sikuwahi kwenda tuition na bado nikapasua Marks ambazo waliokua wanashinda tuition hata kuzikaribia hawakukaribia..
mtoto asome katika umri sahihi na misingi sahihi zingine hizo mbwembwe tu!
Ungeona au kusikia watoto wa kichina wanateswa kiasi gani usingesema haya,tho sifurahishwi na watoto kutendewa hivi..China mtoto akipata 90 out of 100 anagombezwa..mtoto wa madarasa ya chini anasoma vitabu vingi kama mtu mzimaNi kawaida yetu watu weusi kujifanya ndio tunajua sana kupokea mapokeo kuliko walioleta, angalia dini!
Kipindi nasoma hayo madarasa ya chini,kutoka ilikua saa 5 asubuhi,na tulikua tuna enjoy kinoma noma,hakukua na story za darasa la 7 watoke saa 12,kutoka mwisho saa 8 mchana.Shule za serikali zinafuata mfumo huo darasa la kwanza na la pili muda wao wa kutoka ndio huo, kimbembe ni kwa hizi ingilishi midiamu
Walimu wa Sasa sio walezi wakatili mnooWangu ananambia teacher kasema kupupu nyumbani....kususu shule..... Nikamuliza ukibanwa akasema kwenye gari nyumbani..... Ni kweli usemayo