Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

Jana wangu wa miaka mi 3 naambiwa gari lake la sa moja lime change route kwahiyo natakiwa nimuandae sa kumi na moja na nusu awe tayari...halafu kurudi sa kumi na mbili na nusu jioni........ Dereva nimemwambia haiwezekani,mwenye shule nimemwambia kama itashindikana aende shule nyingine.
Walitaka kunifanyia hivyo kwa mtoto wangu ndio darasq la kwanza. Nikwaambia anzeni na wale wa mbali ndio mmalizie wa karibu, sio mnazungusha watoto masaa ma 2.
 
Ungemuacha ajiropokeshe
kuna watu sijui wanawazaga kwa kutumia nini?
eti katakua kazee ka darasa wtf.!!!!
si tumesoma kipindi mko la kwanza darasani kuna mibaba ina miaka hata 15 mnasoma nalo halafu fresh tu, ye anataka kusema nini?

wanawadumaza tu watoto! mtoto kama hana akili hana tu!! mi nmesoma sikuwahi kwenda tuition na bado nikapasua Marks ambazo waliokua wanashinda tuition hata kuzikaribia hawakukaribia..
mtoto asome katika umri sahihi na misingi sahihi zingine hizo mbwembwe tu!
 
Rwanda wanabadili muda wa watoto kwenda shule ili wapata angalau muda wa kunywa japo chai na wazazi wao hiyo taabu inamkuta mwanangu anatoka nyumbani 11:30 kigambon mpaka mikocheni aliko pangiwa shule jana kafika shule saa 1:30 mwalimu mkuu kamchapa mpaka kamtegua mkono na anajua changamoto aliyo kua nayo mtoto aliambiwa anakaa mbali
Shule za karibu hamna?? 🤔🤔🤔🤔
 
😄😄 Kama anaongea vizuri unadhani atakaa nyumbani kufanya nini....
Huyo anatakiwa aende day care lakini kwa bongo day care wanachanganywa na wa primary huko kwenye usafiri. Day care zinatakiwa kuanza saa 2 na kuendelea
 
Rwanda wanabadili muda wa watoto kwenda shule ili wapata angalau muda wa kunywa japo chai na wazazi wao hiyo taabu inamkuta mwanangu anatoka nyumbani 11:30 kigambon mpaka mikocheni aliko pangiwa shule jana kafika shule saa 1:30 mwalimu mkuu kamchapa mpaka kamtegua mkono na anajua changamoto aliyo kua nayo mtoto aliambiwa anakaa mbali
Fanya mazingira ahame shule.
Mikocheni mbali aiseee gari 3
 
Kuna baadhi ya maeneo wananchi wanaishi ila huduma muhimu za kijamii hakuna, hapa napokaa kuna watoto mida saa 12 nikiwa natoka home nakutana nao road, ukiwauliza wanasena wanatoka kwao saa 11 kwa mguu ili saa 12 na nusu wawe shule.
 
kuna watu sijui wanawazaga kwa kutumia nini?
eti katakua kazee ka darasa wtf.!!!!
si tumesoma kipindi mko la kwanza darasani kuna mibaba ina miaka hata 15 mnasoma nalo halafu fresh tu, ye anataka kusema nini?

wanawadumaza tu watoto! mtoto kama hana akili hana tu!! mi nmesoma sikuwahi kwenda tuition na bado nikapasua Marks ambazo waliokua wanashinda tuition hata kuzikaribia hawakukaribia..
mtoto asome katika umri sahihi na misingi sahihi zingine hizo mbwembwe tu!
Huko Daycare penyewe watoto wanapigwa haswa

Wakijisaidia ni kifinyo

Kuna mmoja kila siku analia
 
Screenshot_2023_0119_112947.jpg
 
Huko Daycare penyewe watoto wanapigwa haswa

Wakijisaidia ni kifinyo

Kuna mmoja kila siku analia
Wangu ananambia teacher kasema kupupu nyumbani....kususu shule..... Nikamuliza ukibanwa akasema kwenye gari nyumbani..... Ni kweli usemayo
 
Kweli halafu ujue Kuna katoto la std 1 kanasoma tuition [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Wakwangu hasomi tution, wala weekend hakuna kushika madaftari ya shule. Labda asome vitabu vya hadithi etc
 
kuna watu sijui wanawazaga kwa kutumia nini?
eti katakua kazee ka darasa wtf.!!!!
si tumesoma kipindi mko la kwanza darasani kuna mibaba ina miaka hata 15 mnasoma nalo halafu fresh tu, ye anataka kusema nini?

wanawadumaza tu watoto! mtoto kama hana akili hana tu!! mi nmesoma sikuwahi kwenda tuition na bado nikapasua Marks ambazo waliokua wanashinda tuition hata kuzikaribia hawakukaribia..
mtoto asome katika umri sahihi na misingi sahihi zingine hizo mbwembwe tu!
Wenzetu kwa mfano Finland, watoto waanaanza kujifunza kusoma na.kuandika wakiwa na miaka 7. Chini ya hapo wanaenda kujifunza mambo mengine mpaka akili zikomae. Sasa huku kwetu yalaa, chekecheq mtoto anasoma mambo makubwa kuliko uwezo wake.
 
Ni kawaida yetu watu weusi kujifanya ndio tunajua sana kupokea mapokeo kuliko walioleta, angalia dini!
Ungeona au kusikia watoto wa kichina wanateswa kiasi gani usingesema haya,tho sifurahishwi na watoto kutendewa hivi..China mtoto akipata 90 out of 100 anagombezwa..mtoto wa madarasa ya chini anasoma vitabu vingi kama mtu mzima
 
Shule za serikali zinafuata mfumo huo darasa la kwanza na la pili muda wao wa kutoka ndio huo, kimbembe ni kwa hizi ingilishi midiamu
Kipindi nasoma hayo madarasa ya chini,kutoka ilikua saa 5 asubuhi,na tulikua tuna enjoy kinoma noma,hakukua na story za darasa la 7 watoke saa 12,kutoka mwisho saa 8 mchana.
O'level ikawa hvo hvo kutok mwisho saa 8 unaingia kitaa kukichafua mambo ya soka,wadau wa kilimo kumwagilia bustani jion safi kabisa.Naona hizi sifa za kutafuta ma A zinawapeleka watoto kubaya
 
Back
Top Bottom