Kabla ya kuhemka kumjibu mtu unapaswa kumwelewa kwanza.Unaelewa maana ya sentensi yenye maneno 'chini ya 5KM' ?Umeongea kwa mhemuko sana hapa. Umtembeze mtoto 5Km ili tu ku prove kwamba humdekezi? Hizo ni akili kweli
Kwenye shule mnaweka Model tofauti na Raia wengine hawaruhusiwi mbona Nchi zingine wameweza maisha sio magumu hivyo bandari haitusaidii kitu unakuta shule ya msingi ina hadi basi kama hayo ya mikoani...wakisema Coaster za 2018 aina fulani ni za shule tuu mwingine huwezj kuleta na muundo unakua tofauti nani hapa kwa sasa hivi anaagiza miaka ya 2018 kwa ajili ya abiria...sema kama 2023 tunazungumzia madawati na mbao zinaenda nje hilo swala kweli halitawezekana,Tatizo kodi ikiondolewa gari litakuja ila matumizi yake yanakuwa tofauti
Ulisahau kupiga picha!!!!!!!Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Chekechea mtu anasoma mambo chungunzima..Wenzetu kwa mfano Finland, watoto waanaanza kujifunza kusoma na.kuandika wakiwa na miaka 7. Chini ya hapo wanaenda kujifunza mambo mengine mpaka akili zikomae. Sasa huku kwetu yalaa, chekecheq mtoto anasoma mambo makubwa kuliko uwezo wake.
UONGOoooooUngeona au kusikia watoto wa kichina wanateswa kiasi gani usingesema haya,tho sifurahishwi na watoto kutendewa hivi..China mtoto akipata 90 out of 100 anagombezwa..mtoto wa madarasa ya chini anasoma vitabu vingi kama mtu mzima
A zenyewe basi ziwasaidie wanatafuta sifa tuuKipindi nasoma hayo madarasa ya chini,kutoka ilikua saa 5 asubuhi,na tulikua tuna enjoy kinoma noma,hakukua na story za darasa la 7 watoke saa 12,kutoka mwisho saa 8 mchana.
O'level ikawa hvo hvo kutok mwisho saa 8 unaingia kitaa kukichafua mambo ya soka,wadau wa kilimo kumwagilia bustani jion safi kabisa.Naona hizi sifa za kutafuta ma A zinawapeleka watoto kubaya
Maeneo gani hayo ili tufuatilie kama ni mzazi ama mwalimu ndiye anayesababisha mtoto awe barabarani muda huo.Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Hiyo nursery ya kauta book ni ya wapi hiyo, mbona balaa sasa. Huwa wanasoma nini huko lohbalaa sana mtoto wa nursery kaunta buku 10 vitabu kama vyote sijui ndio wanasomeaga upulofeseli mimi hata siwaelewagi kwa kweli, na cha kushangaza hizo shule wana ratiba ya kila siku kiasi kwamba anaweza kubeba vitu vinavyohusika na siku hiyo tu, kuna mahali tunakosesa sana .
we ulianza shule una miaka mingapi shule ya awali & Msingi??
Kabisa ndugu,kuna madogo unakuta ana A flat,ila ukikaa kuongea nae unamuona ni mweupe kwenye mambo ambayo tulitegemea awe na ufahamu nayo....Lakini hizo A's kazipata kwa kukaririshwa na kuamshwa saa 11 asubuhi na kurudi saa 2...A zenyewe basi ziwasaidie wanatafuta sifa tuu
Umri kama miaka mingapi.Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Zipo mkuu lakini wanasema mpaka baada ya miez3Shule za karibu hamna?? [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Hii kitu imenikumbusha mbali sana,miaka hyo kijijini huko tunaamshwa saa kumi tunaondoka wengi kwa pamoja kwenda Shule,shule ilikuwa mbali sana alafu giza totoro mapori kibao,ile kitu imenifanya kuwa jasiri sana mpaka leo hii katika maisha yangu.Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?
Nimeumia sana moyoni!
Ndio mpango huo mzee lakini wamesema mpaka miez3Fanya mazingira ahame shule.
Mikocheni mbali aiseee gari 3
Basi ccm ni [emoji117][emoji90]Dar ni mkoa wenye maisha ya taabu Kwa watu walio wengi, na maisha ya kifahari Kwa watu wachache