Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
-
- #81
Maliza hiyo kesi mda huu mkuu au kunywa mafuta mana ww upo early stage...kabla ya kulala nilkula ngano,ndo naamka ivoo,na kimba limenibana toka saa saba usiku,ila choon nitaenda baadae.
Asante kwa ushaur
Woooiii mheshimiwa,,nishapitia hayo yote nikiwa mdogo zaidi ya apa , kwaio siogopi kitu,hadi bawasili nilipata,,pole kwa ugeni mkuu,wenzako manunda.Maliza hiyo kesi mda huu mkuu au kunywa mafuta mana ww upo early stage...
La si hivyo utakuja toa ushuhuda mzito sana hapa
Mkuu ile hali niliyopitia mimi jana...Woooiii mheshimiwa,,nishapitia hayo yote nikiwa mdogo zaidi ya apa , kwaio siogopi kitu,hadi bawasili nilipata,,pole kwa ugeni mkuu,wenzako manunda.
Mkuu yakikukuta naimani utakumbuka jina la id yangu hapo....Hii naona haituhusu ...ni huduma ya kujisaidia mwenyewe.UMESHINDWA.
Wacha Wana wa Israel tule mkate.
Shukran kikubwa nimetoka mzima mkuuPole sana mkuu
pole sana mkuu kimekukuta nn tuambie na ss tupate lolote jambo
Hata mimi mwanzoni nilikua naburudika nikienda huko unapopasema ww ...Kwanini hunywi maji??
Unaishije kwa kula mkate pekee??
Binafsi misosi yangu inanifanya niburudike niendapo haja, maji kwangu ni kawaida kabisa.
Ni ajabu kutokunywa maji na uwezo wa kuyapata unao..
Ooooh oooh oooh usiseme hivo ww aiseee acha kabisa fata huu ushauriKwani wewe ni mzee? au amekutuma yule Dr anayesema tusile ?
Mkuu bora wewe unakuja na kunishauri vyema kabisa...nadhani ni muhanga au ukiwahi pitia hili varangatiUkitaka ule ngano, kula ngano ambayo haijakobolewa! Kama ni mkate, kula mkate wa brown na usile sembe kama ni ugali. Kula dona!
Mkuu ni suala dogo tuu ila linaweza kukufanya ujute masaa 2 hukopole sana mkuu kimekukuta nn tuambie na ss tupate lolote jambo
Wewe jana mimi nusu nikate moto ujueni kitu nshazoea mihe
aloooh,,kwa mara ya kwanza ilinpata nkiwa la tano,tena ilikua jumatano tunawahi kurud kufua, nkasema nptie choon kwanz,yaliyonkuta aseeee,,toka saa saba nilfka nyumbani saa kumi😰.Mkuu ile hali niliyopitia mimi jana...
Ingekua wewe mda huu umelazwa mana nguvu ziliisha yaaani miguu kutembea nashindwa
Tuambie clearly tukueleweSio akili et..soma elewa alafu utajua what i means mkuu
ni hii hii kunia au ulpatwa na ka ugonjwa ka moyoWewe jana mimi nusu nikate moto ujue