Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
- Thread starter
- #81
Maliza hiyo kesi mda huu mkuu au kunywa mafuta mana ww upo early stage...kabla ya kulala nilkula ngano,ndo naamka ivoo,na kimba limenibana toka saa saba usiku,ila choon nitaenda baadae.
Asante kwa ushaur
La si hivyo utakuja toa ushuhuda mzito sana hapa