Saa moja na dakika 17

Saa moja na dakika 17

kabla ya kulala nilkula ngano,ndo naamka ivoo,na kimba limenibana toka saa saba usiku,ila choon nitaenda baadae.

Asante kwa ushaur
Maliza hiyo kesi mda huu mkuu au kunywa mafuta mana ww upo early stage...

La si hivyo utakuja toa ushuhuda mzito sana hapa
 
Hii naona haituhusu ...ni huduma ya kujisaidia mwenyewe.UMESHINDWA.
Wacha Wana wa Israel tule mkate.
 
Kwanini hunywi maji??
Unaishije kwa kula mkate pekee??

Binafsi misosi yangu inanifanya niburudike niendapo haja, maji kwangu ni kawaida kabisa.

Ni ajabu kutokunywa maji na uwezo wa kuyapata unao..
 
Kwanini hunywi maji??
Unaishije kwa kula mkate pekee??

Binafsi misosi yangu inanifanya niburudike niendapo haja, maji kwangu ni kawaida kabisa.

Ni ajabu kutokunywa maji na uwezo wa kuyapata unao..
Hata mimi mwanzoni nilikua naburudika nikienda huko unapopasema ww ...

Ila nikapitia changamoto kidogo kutokana na ubize wa kazi zangu nikawa nakula vikavu mno...

Mkuu ile hali ya jana nikikumbuka kuna hali ya kuogopa hvi
 
Ukitaka ule ngano, kula ngano ambayo haijakobolewa! Kama ni mkate, kula mkate wa brown na usile sembe kama ni ugali. Kula dona!
Mkuu bora wewe unakuja na kunishauri vyema kabisa...nadhani ni muhanga au ukiwahi pitia hili varangati
 
Mkuu ile hali niliyopitia mimi jana...
Ingekua wewe mda huu umelazwa mana nguvu ziliisha yaaani miguu kutembea nashindwa
aloooh,,kwa mara ya kwanza ilinpata nkiwa la tano,tena ilikua jumatano tunawahi kurud kufua, nkasema nptie choon kwanz,yaliyonkuta aseeee,,toka saa saba nilfka nyumbani saa kumi😰.

Kwaio siogopi kitu 😂
 
Back
Top Bottom