mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
kanunua kwa pesa zake au pesa za serikali? Maana kamatunataka kuanza mambo haya kuna basi kuna viongozi wa sasa na wa zamani wana mali kama vile mashamba makubwa yenye thamani kubwa kiasi cha kuweza kujenga mashule, kununua vifaa vya mashuleni, zahanati na hata kulipa mishahara ya walimu kwa wakati. Sijapata kusikia watu wakililia hili kabisa! Na tukirudi katika suali la saa, mumeona saa anazovaa Kikwete?