Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Huna akili
Stress za ufukara zinakusumbua ndio maana umekazana kutoa matusi tu kwa watu waliokuzidi mtazamo na pesa...
Tafuta pesa uone vitu kama hivi ni vya kawaida tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna akili
MTU aliyekosa hoja hukimbilia matusi Hilo ni jina langu je wewe ni jina lako kama wazazi wako walikupa jina hilo au wewe umependa hivyo unafanana nalo unabebeshwa hoja Kwa manufaa ya wengineJina tu linaonesha ni mtu wa namna gani? Yaani watu wote duniani ukaamua kuja na ID ya John Makonda. Akili yako imekaa kwenye makalio kama Makonda ndio maana umeandika ushuzi. Nani kasema huyu atayamaliza matatizo? Kwa uwezo gani alionao huyo bi. Tozo ili atatue matatizo zaidi ya kuturembulia macho tu?
Hoja ni tunataka majibu, kama mtumishi wa umma Rena mtumishi namba 1, ametoa wapi pesa za kununua saa ya 100M+ wakati nchi ipo gizani, hatuna uhakika wa matibabu, elimu wala milo 3 tokana na ugumu wa maisha? Atujibu huyo bi wa kizanzibar.
Salama tu kaka, kwema?Kaka habari😁
Je kama kapewa zawadi?
Huna akili wewe,umeshindwa kujibu hata swali langu moja,Hahaaaaaa, hujui kama hata hiyo sukari haipo nchini au uchawa umekutoa akili bwana mdogo? Inawezekana najadiliana na mtu anayelishwa na kuvalishwa na shemeji yake hivyo hukui chochote kuhusu maisha. Byeeeeee
Of course kama nchi inaweza kuandika mambo mengi kwenye katiba, halafu ya watu wa hiyo nchi yakawa tofauti kabisa na hiyo katiba, hilo linaonesha u fake mwingi.Tanzania "ufake" ni mwingi kuliko uhalisia ndugu Kiranga .
Inawezekana hata mimi ni fake.
Wewe fake,yeye pia ni fake.
nyie ndo mnachangia uwepo wa wezi , kuwa rais sio sawa na usanii wa Zuchu , hata yeye kupokea zawadi yenye thaman ya 100M anapaswa kuhoji kwann ? apewe , ana nini cha maana kafanya kufanya mtu ampe kitu cha thaman ya 100M , NYEREEE HAKUWA MJINGA HATA KDGHatununuliki kirahisi hivyo
Tumnange kwenye ishu za kimsingi, sasa huo mshahara wake anautumiaje kama tunaanza kumkagua mpaka mavao yake?
hatuna rais hapoNdio nimeona Ila hayo ni mambo ya familia zaidi, ule mkufu aliotupia siku ile nao hamjatafuta bei yake bado?
ana mume gan wa kumpa saa ya Tsh 100MMimi sitaki kuingilia mambo ya familia za watu, hio imekaa kifamilia zaidi sasa unapoanza kuhoji as if yeye hana mume unakua hueleweki
kwan ndugu yetu ww ni Mkenya ?Tafuta hela na wewe ununue sio kutwa kujadili wake za watu, je kama amenunuliwa na mme wake?
Wewe una mume gani?ana mume gan wa kumpa saa ya Tsh 100M
mkuu hawa watu wanao 'kosoa' serikali namna hii ni kwamba wanaishi nje au serikali ipo lenient haijali?Hiyo hapo mkuu View attachment 2911567
Kwema mkuuSalama tu kaka, kwema?
Sawa sawaHiyo hapo mkuu View attachment 2911567
Unaijua posho yake akiwa nje ya kituo chake cha kazi, afterall ni maamuzi yake kutumia jasho lake atakavyoKichwa cha habari kitoshe na kieleweke
Milioni 111,000,000/= anaivaa mkononi tu?
Yaani Rais anavaa KITUO ZAIDI YA KUMOJA CHA AFYA?
JE amedunduliza kwa muda gani?
Ila uzalendo ni kitu cha bure kama ilivyo heshima yaani kweli?saa milioni 111000,000/=
Hahaaaaa ile saa original mkuu. 100+M ipo mkononi mwa mama Abdul.Of course kama nchi inaweza kuandika mambo mengi kwenye katiba, halafu ya watu wa hiyo nchi yakawa tofauti kabisa na hiyo katiba, hilo linaonesha u fake mwingi.
Lakini, hilo halimaanishi Samia Suluhu Hassan anavaa saa fake.
Kwa sababu hata usiponunua hiyo saa ya $40,000.00 bado wataendelea kuwa mafukara, kujifungua sakafuni, maji ya shida, n.k.Unaongozaje asilimia kubwa ya watu mafukara, akina mama wanajifungulia sakafuni, maji shida, hakuna pesa za kuwafadhili vijana masomo yao ya chuo, nchi ipo gizani halafu unakuwa na confidence ya kununua saa ya milioni mia na ushee.
Serpent, mwenzio.Hii hapa saa ya mama yetu mama wa mfano ,
Pesa hizo ni madarasa 12 ya Shule hapa Tanzania nchi maskini ila yenye rasilimali za kutosh...