Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mwaka jana kwenye maji malalamiko yalikua hivihivi, lakini pia kwenye afya na chakula ....Litapita lakini watanzania watabaki bila umeme, bila huduma bora za afya, bila elimu bora n.k
leo hii hayo hayaonekani yamesahaulika kama vile hapakuwahi kua na tatizo...
nasisitiza la umeme nalo litapita vizuri tu, kwasababu kazi inaendelea kwa kasi na viwango vizuri sana...
kwenye afya na elimu, hakuana asie jua. Kazi kubwa sana imefanyika, na kazi kubwa zaidi inaendelea kufanyika usiku na mchana.
Tena kwenye suala la Afya na Elumu,
Tanzania ni miongoni mwa mataifa barani Africa yenye viwango bora zaidi na vya juu mno vya ubora ukilinganisha na mataifa nengine...