mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,379
- 1,276
Shule msiende kula mihogo mkasome.Wewe umeandika nini na una elimu ya wapi kule mnapofungiwa kucheza judo?
Wewe umesoma maelezo vizuri nilichoandika au umekurupushwa CHOONI?Shule msiende kula mihogo mkasome.
Kazi gani aliyoifanya awe na ukwasi huyo konda asiyewahi kuota kuendesha gari hata siku 1 sasa ghafla dereva kafa kaachiwa kiti cha udereva ilhali hajui anatakiwa afanye nini.Hata asipovaa hiyo saa bado matatizo yataendelea kuwepo.
Yeye pia ni binadamu, amefanya kazi kubwa na ana uwezo wa kuimiliki.
Muache afurahishe nafsi yake.
Kuwa fukara pekee si sifa ya uongozi bora.
Hata ungeandikaje bado umekosea kwani hiyo haiko kwenye milioni, milioni lazima iwe hivi 1,000,000.Wewe umesoma maelezo vizuri nilichoandika au umekurupushwa CHOONI?
Jina tu linaonesha ni mtu wa namna gani? Yaani watu wote duniani ukaamua kuja na ID ya John Makonda. Akili yako imekaa kwenye makalio kama Makonda ndio maana umeandika ushuzi. Nani kasema huyu atayamaliza matatizo? Kwa uwezo gani alionao huyo bi. Tozo ili atatue matatizo zaidi ya kuturembulia macho tu?Katika watawala wa nchi yetu huyu mpaka Leo ndiye ametawala mda mchache kuliko wote aliye mrithi alitawala miaka 6 wa nyuma yake miaka 10
Nyuma yake miaka 10
Nyuma yake miaka 10
Nyuma yake miaka 25
Mkoloni mwingerza miaka 40
Mjerumani miaka 38
Huyu wa miaka 3 amalize matatizo yote ambayo waliotawala mda mrefu walishindwa au yeye amebomoa walipojenga wenzake
Kuna katiba ya watu furani walidai kua nitatumia elimu yangu Kwa manufaa ya wote
Kutumia elimu yako kua balaa Kwa wengine ni kuto kutenda haki
Kuna mjasriamali furani duniani alibainisha sifa ya MTU aliye kata Tamaa ya kua
matatizo yake yamesababishwa na serikali
Maana ya neno "serpenti" ni snake "nyoka". Anaonyesha yuko hapo kwa niaba ya nani!View attachment 2912089
Kwa hiyo huyu ndiye tunamsubiri atutatulie changamoto za umeme?
Huyu ndiye tunamtegemea amalize changamoto zetu za kupanda bei ya sukari?
Huyu ndiye tunayemtegemea atumalizie changamoto zetu za hali duni ya maisha, umasikini, huduma mbovu za afya, maji na miundombinu? Na mateso ya umasikini tunayopitia?
Huyu ndiye tunayemtegemea atutoe kwenye orodha ya nchi masikini tunayoishi chini ya dola 1 walau tufikie kupata milo mitatu kwa siku?
Ok. Basi Sawa.
Unaonekana chawa wa viwango vya juu! Utakuwa unakula nnya yake sio bure!Kichwa chako kimejaa mawazo ya kimaskini na kijima sana .kwani asipoivaa hiyo saa ndio matatizo yako yataondoka hapo nyumbani kwako na umaskini ulio nao? Kwani hiyo saa kanunulia pesa za umma? Kwani tangia ameanza kufanya kazi wakati wa ujana wake mpaka leo hii akiwa mkuu wa nchi unafikiri saa hiyo inamshinda kununua?
Samia amefanya kazi kwenye taasisi za kimataifa zaidi ya miaka 20, amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, amekuwa Waziri/Naibu Waziri kwa zaidi ya miaka 14, amekuwa Rais/Makamu wa Rais kwa zaidi ya miaka 8. Hawezi kukosa $40,000.00 kwa ajili ya saa.Kazi gani aliyoifanya awe na ukwasi huyo konda asiyewahi kuota kuendesha gari hata siku 1 sasa ghafla dereva kafa kaachiwa kiti cha udereva ilhali hajui anatakiwa afanye nini.
Wapi nilipoandika hela Mimi angalia tena vizuri acha kukurupukia comment za watu kijanaHata ungeandikaje bado umekosea kwani hiyo haiko kwenye milioni, milioni lazima iwe hivi 1,000,000.
Unataka rais atumie mshahara wake kukununulia sukari nyumbani kwako?Sasa ndio umeandika nini? Mwambieni mama yenu aache anasa kwa kutumia kodi za wananchi maskini tusio na uhakika wa umeme, maji safi na salama, huduma za afya na sasa tunakunywa chai na pipi kwani nchi haina sukari. Mwambieni ukweli, mtaani tumemchoka kwani kiwango cha ugumu wa maisha kinaongezeka huku yeye anatembea angani kama popo.
Hahaaaaaa, hujui kama hata hiyo sukari haipo nchini au uchawa umekutoa akili bwana mdogo? Inawezekana najadiliana na mtu anayelishwa na kuvalishwa na shemeji yake hivyo hukui chochote kuhusu maisha. ByeeeeeeUnataka rais atumie mshahara wake kukununulia sukari nyumbani kwako?
Unataka rais atumie mshahara wake kununua umeme wako? Kwahiyo rais asinunue kitu ambacho nafsi yake inapenda kisa wewe huna sukari? Hivi unajielewa kweli wewe? Una akili timamu wewe? Mshahara wa rais toka lini ukatumika kua kwenye bajeti ya serikali? Kiongozi wa nchi gani anafanya hivyo?
Siasa za kijima na mawazo ya kimasikini vimewaharibu sana watu kama wewe.
Samia amefanya kazi kwenye taasisi za kimataifa zaidi ya miaka 20, amekuwa mbunge kwa zaidi ya miaka 15, amekuwa Waziri/Naibu Waziri kwa zaidi ya miaka 14, amekuwa Rais/Makamu wa Rais kwa zaidi ya miaka 8. Hawezi kukosa $40,000.00 kwa ajili ya saa.