Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Weee Lazima ajutreeeeeee!!
 
Huwa naogopa rudiana kwa namna yoyote na X kwan nakua naona kama karudi kulipizia au kufanya alivyosahau.

sina tena amani na huyo mtu and in my life sijawahi na haitowahi tokea,sio kurudiana tu ila hata urafiki wa Habari yako,Umeshindaje unaendeleaje.

Nikikuona nakupta kama sikujui na ni kweli sikujui,salamu tulisha salimiana enzi tuko pamoja inatosha.

Yani kwanza kabla hatujaachana huwa mahusiano inayoendea kufa tu unaiona kabisa nafutaga namba mapema sanaa kabla hata ya tukio kufika.

Tukipeana migongo ndio bye bye forever,no turning back.
 
Mmh! Punguza jazba mkuu, unakosa vingi vinono
 
So wewe unahofia grid ya taifa....kwenye hiyo issue no one is safe. You become safe when you die.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…