Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Mimi hua nazifuta , na kama ni matumizi ya dharula yamkini ukimaanisha ngono, nowdays hiyo kitu siyo ya kutafuta kwa tochi
 
Mwee hizi somjo tuu...hamna kidume amewahi ishinda mbususu hapa duniani
Ni kweli huwezi kushindana na Mbususu kama unavyosema lakini Ukifanikiwa kumfikisha kileleni, kuna asilimia kadhaa huyo Mpenzi wako kutochepuka.

Mwanamke anachekupa kwasababu mbili ama tatu;
  • Kutofikishwa
  • Pesa
  • Muda wako
Jaribu kumpatia hivyo hutakaa uone anachepuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…