Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Mimi hua nazifuta , na kama ni matumizi ya dharula yamkini ukimaanisha ngono, nowdays hiyo kitu siyo ya kutafuta kwa tochi
 
Wazee wa mitulinga washapitisha Manowari zao za kivita [emoji1787]
Ulipigana nae chini mzigo ukiwa no.2 unajirudisha wazee washaupeleka no.4. [emoji1787][emoji1787]
FB_IMG_1691593613217.jpg
 
Mwee hizi somjo tuu...hamna kidume amewahi ishinda mbususu hapa duniani
Ni kweli huwezi kushindana na Mbususu kama unavyosema lakini Ukifanikiwa kumfikisha kileleni, kuna asilimia kadhaa huyo Mpenzi wako kutochepuka.

Mwanamke anachekupa kwasababu mbili ama tatu;
  • Kutofikishwa
  • Pesa
  • Muda wako
Jaribu kumpatia hivyo hutakaa uone anachepuka.
 
Back
Top Bottom