Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Najaribu kuwapa picha hawa Vijana vile Babu zao tulivyofaidi enzi zetu 🤗Mkuu umenichekesha sana🤣🤣🤣🤣
Yaani unakula Kuku wa Kienyeji Original kabisa, hata shombo husikii.
Tena ukiwa mpenzi wa kusafiri kufika Uvinza ya Kigoma, inakuwa burudani mwanzo mwisho kwa Binti wa watu, anakuwa analilia bakora tu 🙈
Kwa kweli Wazee tulifaidi sana miaka yetu 🏃🏃🏃