Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
once X is always X.....Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?
Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.
Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .