Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Uzuri ma ex wangu huwa wanakufa baada ya miezi sita ya kuachana lazima iwe R.I.P ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Kama usemacho ni sahihi basi utakuwa una roho ya mauti.

Kuna jamaa naye kila Mwanamke atakaye funga naye ndoa baada ya mwaka mmoja lazima afe huyo Mwanamke.

Ameshafiwa na Wake wanne ๐Ÿ™Œ

Juzi nimeona akitafuta Mwanamke mwingine sina hakika kama atapata labda kwa wasiomjua
 
Bibi kakataa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usije kunipa mtihani nikuruhusu uje uhakikishe mwenyewe.

Utafanya kazi ya kuimba na maiki lakini hutaona Babu akishtuka ndiyo uone tulivyozeeka sasa ๐Ÿคช๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿƒ
 
Kama usemacho ni sahihi basi utakuwa una roho ya mauti.

Kuna jamaa naye kila Mwanamke atakaye funga naye ndoa baada ya mwaka mmoja lazima afe huyo Mwanamke.

Ameshafiwa na Wake wanne ๐Ÿ™Œ

Juzi nimeona akitafuta Mwanamke mwingine sina hakika kama atapata labda kwa wasiomjua
Hii inatesa sana, na hata kuna wanawake pia.. ukigusa ni matanga.. Wahenga wanasema ni wapenzi wa kiroho ndio husababisha hili, pamoja na vita vya uzao katika roho ikiwa na hatma ya mtu katika nyota yake.. Binafsi kabisa ambao walishakuwa wapenzi , acha na wachapa ilale.. hakuna alie hai ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
 
Sema kweli mzee mpaka sasa wamekufa wangapi?
 
Hii inatesa sana, na hata kuna wanawake pia.. ukigusa ni matanga.. Wahenga wanasema ni wapenzi wa kiroho ndio husababisha hili, pamoja na vita vya uzao katika roho ikiwa na hatma ya mtu katika nyota yake.. Binafsi kabisa ambao walishakuwa wapenzi , acha na wachapa ilale.. hakuna alie hai ๐Ÿ˜’๐Ÿ˜’
Pole Mkuu

Niliwahi kusikia somo kutoka kwa Mchungaji Mwakasege lihusuyo mambo ya maagano na mnyororo wa dhambi kwenye familia

Kwa kweli inahitajika nguvu za kiroho kuweza ku-break the Chain

=======
Kama case yako ni hivyo, please kaa mbali na Wajukuu zangu aisee ๐Ÿ˜…
 
Yaani wewe unamchukulia serious huyo National Anthem
Kweli umekosa kazi๐Ÿ˜‚
 
Sababu huwa ni curse, evil altar za kifamilia ambazo unakuta tayari hiyo kitu imepitishwa kimaagano, lakini wake wa kiroho.. kuna dada mmoja mzuri sana ujue mzuri hasaa.. na ana kila kabaki kuwa rafiki.. nae ukimgusa tu umeenda na maji.. ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜….. huwa ananiambia huwa kila mchana anachukuliwa na mumewe wa baharini wanaenda baharini.. wanazama hadi chini.. sasa ukigusa hapo lazima uandae matanga..

Hii kitu mbaya sana na inatesa..๐Ÿฅฒ๐Ÿฅฒ
 
Usije kunipa mtihani nikuruhusu uje uhakikishe mwenyewe.

Utafanya kazi ya kuimba na maiki lakini hutaona Babu akishtuka ndiyo uone tulivyozeeka sasa [emoji2957][emoji125][emoji125][emoji125]

Babu kuimba na nini??!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… tujaribu hata miezi sita.. ile penzi limekamata moto wa hatari ndio tumwagane.. tuone matokeo yake hapo
Na me mtu akiniacha hasimamishi tena huko aendako, so jipange vizuri.

Kama vipi tuanze hata saivi, baada ya miezi 3 tu penzi litakua lishastawi vya kutosha kila mtu anashika njia yake
 
Yaani wewe unamchukulia serious huyo National Anthem
Kweli umekosa kazi๐Ÿ˜‚
Amefanya nizame deep kwenye mahubiri ya Mwakasege hadi kupata kichwa cha somo kumbe ana niinjoi tu

Kwa kweli Sijapenda
===============

Ila hapo kwenye ukaribu na Wajukuu zangu naendelea kutoa msisitizo akae nao mbali

Asije kupita nao alafu akaniletea taharuki Babu yenu ๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom