Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Kumbe tunahitaji umakiniSababu huwa ni curse, evil altar za kifamilia ambazo unakuta tayari hiyo kitu imepitishwa kimaagano, lakini wake wa kiroho.. kuna dada mmoja mzuri sana ujue mzuri hasaa.. na ana kila kabaki kuwa rafiki.. nae ukimgusa tu umeenda na maji.. ๐ ๐ ๐ .. huwa ananiambia huwa kila mchana anachukuliwa na mumewe wa baharini wanaenda baharini.. wanazama hadi chini.. sasa ukigusa hapo lazima uandae matanga..
Hii kitu mbaya sana na inatesa..๐ฅฒ๐ฅฒ
Ila kuna njia Sisi Wazee tunaitumia kujua hao Mabinti wenye hizo shida hata kama hajakuleza kwa mara ya kwanza.
Ukitia ujuaji unaondoka kweli au unaweza pata aibu ukikutana na wale Wanawake waliotegwa na Wapenzi wao bila wao wenyewe kujijua