ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Unakutana nanyama ngumu haifai kuroast ama kupika rojo, lenyewe linafaa mchemsho tu..hahahah..madam nielewe tu, papa moja ni mtihani sana.Hapana wa vipajii hiohio nyama yako unaibadilisha mapishi buana leo unaichemsha tu kesho unairost keshokutwa unaichoma ivoivo!!