Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

x wangu kaolewa tangu ,na tuachane mwaka 2018...juzi kati kaja dar kwa ajili ya darasa flan mitaa ya makumbusho kaniita nikamuone.

Muda anapiga simu ni saa 6 nimechil na baby mama wa sasa,akanambia kama nitapata muda kesho nipitie hapo kwa ajili ya kumuona.

Ilikuwa ijumaa,nikamwabia sitakuwa na muda labda jumanne,ananambia anahisi darasa lake litaisha monday so jumanne ndo atarudi kwake.

Nikapanga jpili kwenda kumuona,siku ikafika nikaanza kuelekea makumbusho,nikashukia mkwajuni.yeye alikuwepo ametoka kanisani pale magomeni katoliki.

Tukasalimiana pale(hatukuwahi kuonana kwa miaka zaidi ya 4).

Akarequest uber mpaka makumbusho kwenye logde alifikia,ila kabla tukapitia sehemu kula ugali na makange ya kuku huku tukipata soda kwa mbaaali.

Baada ya chakula safari ya kwenda lodge ikawadia,kufika lodge nikakaa zangu kwenye kiti nikawa natazama tamasha la simba day.

Yeye akiwa kitandani,akanikaribisha grand malt na coca pale tukanywa zetu huku story za hapa na pale,swali moja wapo lilikuwa "how about your relationship status"nikamjibu nina mtu,akaongeza mna mpango gani nikamjibu huyu sasa ni ndoa kabisa,hata hapa nimekuja nimemwacha home.

Baada ya muda akapata simu ya jamaa wa delivery,ambaye alikuwa njiani anamletea vitu flani alivo order kutoka k koo nadhani.

Nikakumbuka tukiwa garini alinionesha viatu vya mtoto wake,anavyotaka kuagiza,akaomba nimchagulie,nikachagua raba moja nyeusi na soli nyeupe,ilikuwa kali saa,akaorder hiyo.

Akatoka kwenda makumbusho stend kukutana na huyo jamaa wa delivery,huku nyuma nikaendelea kumimina grand malt na coca na kutoka kwenye mini fridge ya mle chumbani.

Baada ya muda akarejea na maboksi,akaomba wamuwekee store mpaka siku atayoondoka,Alivoingia tu akapokea simu kama mbili hivi then akaenda kuoga,alipotoka akawa anajaribu jezi ya simba aliyonunua siku hiyo hiyo pale magomeni.

Ilimkaa fiti nikamtania hiyo jezi naondoka nayo ujue,akasema jaribu kama ikikutosha chukua,nikamwambia nakuzingua tu,ila akalazimisha nijaribu,nikajaribu ila ikawa fupi kwangu cos mi ni mrefu sana kwa kipimo chake.

Tukaangalia wote utambulisho wa wachezaji pale mpaka mwisho,then nikapata text za baby Mama analia lia nimechelewa sana mbona,basi nikaaga zangu pale,akanisindikiza mpaka makumbusho stendi nikadaka zangu basi la home nikasepa.

NIKIWA KWENYE GARI...

nikapokea sms yake kama ifuatavyo.

Her:nishakumis
Me:hahahah same here
Her:niko bored dah
Me😛ole sana asee ntakuja kukuaga kabla hujaondoka
Her:karibu ila haitoshi.
Me:haitoshi tena?kwani we ulitakaje?
Her spent a night together.
Me:hahaha not good idea sis
Her:why,only for fun..
Me:another man food is another man poison
Her:why
Me:ndo hivyo sis.

Nikafika zangu home salama nikakuta bebe kanuna sana cos nilimwambia nitakuwa home around saa 10 niwahi mechi ya simba na power dyamos,nikabeba tuzawadi ili asinune sanaaa.

My POINT :,SIO KILA X LAZIMA MLANE TU,WENGINE WANABAKI KUWA MARAFIKI NA DADA AU KAKA TU.

Screenshot_20230828-140104_Gallery.jpg
 
View attachment 2731322

Huwezi kuufanya mua km fimbo, ipo siku utautafuna ni kitendo cha muda
 
Back
Top Bottom