Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Njaa ndio kipengele
Hakika mkuu nakubaliana nawe

Hata hawa ambao wameajiriwa wana tamaa sana wengi hawajui kusema NO kwenye mtonyo hata kama ana mume au mshikaji anafanya naye maisha

Tabia yao ya kuwaweka wanaume wengine kama backup aliye naye wakishindwana inafanya waliwe sana mbususu

Hawa viumbe usiwapende wanafiki sana. Nasema hawa viumbe hawafai wanaume wenzangu

Fear women
 
Akishafeli lazma arudi kwa upole 😀
Hapo kwenye kurudi kwa upole atakuletea drama kwa kujiliza, maneno matamu ya kimahaba au kukupea sex

Wanawake wana silaha zao kuu 3 wanazotumia kuwatawala wanaume mabwege

1. Kulia/machozi
2. Sex
3. Drama

Hapo ndipo wanaume mabwege hushindwa jata kuvunja mahusiano na wanawake wasaliti au wasumbufu (toxic relationship)
 
Haiwezekani, yameshaisha kumebaki heshima
hakunaga hiyo unataka kusema ukimkuta mumeo anaendeleza mawasiliano na ex's wake utaona ni sawa akikupa sababu hiyo ya urafiki tu?

Binafsi Ke akishakuwa anaendeleza mawasiliano na ex wake nampiga chini chaaaap. Urafiki kuwa wapenzi n rahisi ila ni ngumu sana mapenzi kuwa urafiki.
 
Weekend ya jana nmerudia jimbo langu la 2016
Leo asubui nmekuta message anataka Kuja tena ijumaa jioni ataenda kwake jumapili

Huyu alisemaga tusijuane kabisa na akablock number
 
Back
Top Bottom