Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

Ananinyanyasa anajua siwezi kumsaliti ila ipo siku yake, shetani atakaponipitia nimpe kampani ya kwenda kwenye mti wa katikati ATAJUA HAJUI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukumbuke tu wazee wa hovyo tupo, tunasubiria vitu vya namna hii tuburudike na kuufurahia uzee wetu 🤣🤣
 
Wewe babu unazuga humu!! Kuku kishingo alikuja kutoa ushuhuda eti “Babu hajashuka mpira dk 90” [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukapiga mpk za nyongeza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nawe ukaamini Mjukuu

Babu yako sina jambo kabisa yaani, ukiweza njoo uangalie ila usije kunibandika hadi kwenye magazeti Babu amelala Doro
 
Kuna rafikiangu juzi alikua ananiambia mume wake analala nje, siku ikitokea karudi bas saa 8 usiku afu yupo chakarii!!!
Basi anaongea kwa uchungu eti cute “Kweli umri huu me wa kulala peke yangu?”
Nilimuonea huruma afu ni mzuri, mdogo na bado dume linatoka nje manyokoo [emoji119][emoji119][emoji119]

Alivyoniambia hivo nikapata had kisirani sitaki kusikia mambo ya ndoa kabisaaaa
Khakhakhaaaa... Bora arudi saa 8 awe ni chapombe tu kuliko arudi saa 8 kumbe katoka sasambua papa jingine huko!!
 
Kweli?? Wewe mbona wanasema huko ndio kumenoga?!!!
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Weee thubutruuuu!! Si unaona ERoni anakili hapo
 
Watu wanaachana lkn namba hawafuti. Unajua ni kwann?

Kwasabb ni suala la muda tu ipo siku watatafutana.

Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura .
Mimi sijawahi kufuta nikimmiss navuta waya namega,hivi unafutaje namba za mashangazi yanavyojua kufinyia ndani....ma x wng wana pepo yao
 
Back
Top Bottom