Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
ππππππππ«΅π«΅π«΅Hahahaha π π π π π π π si ndio fala lile lililewa sjui ile siku,,, ngoja kwanza we mpenda mashangazi Poor Brain utakuja kunifanya nami nionekane mzinzi kawewe
basi alokuroga alirogwa na alomroga alivurugwa na alishakufwaππππππππ«΅π«΅π«΅
Now nipo kwa dimbwi zito la setfree i don't know the way na feel now aiseeee..
Alafu mi sijawahi kulewa ujue ahahahahah acha ukorofi
Kidogo nigongwe na gari,sjui kwanini nmesoma hi mesej nkiwa barabaraniNi exclusive sana imekuja kwa ajili yako fungua moyo uniuzie nafasi nijenge ndani yake
Wanabet tu siku hiziHakuna shamba la kulima huko
Na mshine ya maana. Vingenevyo utaishia kutia mapaja tuKupiga kibonge ni lazima uwe na pumzi
Nimeisha iskrinishuti hiyo niwe naitumia, ndugu yetu huwa anatuchora tu si tukijikanyaga kumbe yupo vizuri kwenye mistari na hataki kutusaidia π ππππππππππππππππππππ
Mkuu dosho12 njoo ukopi mistari huku itakusaidia mahali.
Mimi tangu kitambo nimegundua Bro ni mbinafsi, hataki kushiriki chochote kwa niaba yetu bali ikifika muda wa yeye kujipambania ndio huyatoa makucha yake kama alivyo fanya hapa.Nimeisha iskrinishuti hiyo niwe naitumia, ndugu yetu huwa anatuchora tu si tukijikanyaga kumbe yupo vizuri kwenye mistari na hataki kutusaidia π π
ππππππNimecheka sana we na dosho12 jau sana π€£ π π€£ π π πMimi tangu kitambo nimegundua Bro ni mbinafsi, hataki kushiriki chochote kwa niaba yetu bali ikifika muda wa yeye kujipambania ndio huyatoa makucha yake kama alivyo fanya hapa.
Daah πππ basi mniwihe radhi ndugu zanguNa huo ndio ukweli wenyewe mkuu, ulituficha kuhusu ule mkoko mkali na mambo mengine mengi.
Sawa ngoja tuangalie muendelezo wako.Daah πππ basi mniwihe radhi ndugu zangu
Sasa mtu ambae kiuno chake kina upana wa futi 2.5 ndiyo afanane shimo na mwenye kiuno nchi 8!! Kwenye hili dhambi zao nipewe mimi.Mbona wana K visima
Mbona kama mnasubir nijikwae tena mnitenge.....we mwenyew umeyumba sana ila tupo na wewe iweje Mimi mniwekee red alert πππSawa ngoja tuangaloe muendelezo wako.
Dah ni kweli umenikumbusha mbali mkuu, ila nimeanza kujitafuta sasa kwa kuimba singeli pengine nitarudi tena juu. Hapa kuanzia August 2 nitatambulika rasmi kama Muimba singeli.Mbona kama mnasubir nijikwae tena mnitenge.....we mwenyew umeyumba sana ila tupo na wewe iweje Mimi mniwekee red alert πππ