Sababu moja wapo kwanini nawapenda wadada vibonge na wenye mashavu manene

Nakubali mkuu.....tutapiga kolabo Moja nimuimbie Ms R ili anielewe kama nipo serious na yeye
Sahihi kiongozi, em nianze tizi kidogo.

" Ms R , acha masihara. mwanetu Harmful ni kweli anaumia moyo....
Ukimfungia makufuli atakuwa poyoyo"

"Oya oya bila kuchoka timu ileile W.K.M wasaka tonge kwa kutumia mabavu, wekaaa..."
 
Sahihi kiongozi, em nianze tizi kidogo.

" Ms R , acha masihara. mwanetu Harmful ni kweli anaumia moyo....
Ukimfungia makufuli atakuwa poyoyo"

"Oya oya bila kuchoka timu ileile W.K.M wasaka tonge kwa kutumia mabavu, wekaaa..."
"Oya huyu mtoto akinikataa mwenzenu nitajinyonga
Penzi lake kama mlima napanda hata iwe kitonga

Mwambie asilete michosho me nishanasa kwake
Hata mwanangu dosho12 anamjua shemu lake"

Verse langu hilo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍
Dah mwanangu unapasuka kinoma yani ngoja nimsubiri huyo dosho12 atie mistari yake.
Lakini hadi hapa tayari mtoto kanasa, atajifanyisha tu kukataa ili kuchelewesha vitoto chekechea.
 
"Mtaani kwetu Kuna kademu chibonge

Kananifata fata kanataka nikagonge

Nataman nikatae ila ataniona mnyonge

Subir nikapakie mkongo kama ugali nikasonge"

Mistari mingi sana mpaka yakuharibu jamii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…