Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

Nini kilitokea mkuu 2003 hapo mimi nikiwa na 3yrs old πŸ˜‚
Nilisweka lupango kisa nilimsaidia majeruhi wa ajali ya gari,
Mimi nikiwa kama dereva nikiwa namwendesha meneja wa kampuni x tukakuta ajali jamaa kagongwa na tipper la mchanga meneja akasema tumpeleke hospital, kabla ya kwenda hospital tukapita polisi kuripoti na majeruhi
Kilichotokea huko polisi basi tu
 
Inakuwa kama china bana china mtu ukipata tatizo hakuna anaekusogelea ata iweje, iwe ajali iwe umenasa sehemu yani upati msaada wowote mpka polisi waje
 
Je, una uelewa wowote kuhusiana na Elimu ya masuala ya Criminology? Crime Intelligence? Forensic science? Crime scene investigation?

Je, pia una uelewa wowote kuhusiana na Suala la targeted crimes?Stagged accidents?

Usalama wa watu ktk nchi zetu hizi za Afrika ni tatizo kubwa sana. Kwa bahati mbaya sana kupita kiasi, wale watu ambao Wananchi wengi wanawaona kuwa ni walinda usalama wa watu, baadhi yao hao hao ndio Wahalifu wabaya Sana, tena ni watu hatari sana.
 
Inakuwa kama china bana china mtu ukipata tatizo hakuna anaekusogelea ata iweje, iwe ajali iwe umenasa sehemu yani upati msaada wowote mpka polisi waje

Ikiwa polisi wanawahi itakuwa afadhali ila huku bongo polisi wanakuja baada ya masaa mengi kupita
 
Ndio maana Marekani wana taasisi ya Marshal Services na The United States Federal Witness Protection Program (WITSEC)
 
Je, una uelewa wowote kuhusiana na Elimu ya masuala ya Criminology? Crime Intelligence? Forensic science? Crime scene investigation?

Je, pia una uelewa wowote kuhusiana na Suala la targeted crimes?Stagged accidents?

It is not about crime🌝 hii maada sijajikita kwenye mambo ya uharifu nazungumzia kuhusu raia kutoa msaada kwa wahamga wa matukio na watu bila kuwa wawajibisha wasamalia wema πŸ€” ila kuhusu hizo elimu unaweza kuelezea tu watu tukafahamu dhumuni lako nini,, kama lengo lako ni kunichallenge mimi unakaribishwa pia
 
Ila safi huyo baba kunyooshwa, unaacha familia iteseke njaa afu hela unaenda kunywea pombee? Ilimbidi huyo mama amminye hilo tumbo atapike pombe yotee.

Shenzzzy zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sometimes tunakunywa za ofa bibie
 

Hizi elimu kama askari wanazo haya mambo yote yasingekuwepo,, nafahamu kuwa uchunguzi unanjia nyingi sana eneo la tukio is starting point lkn ni ujinga sana mtu anapoteza maisha katika eneo la tukio kisa kusubiri polisi waje wachunguze,, jambo la muhimu ni maisha ya watu wala sio upelelezi,, sasa mtu anakufa hapo kwa sababu ya kukosa msaada wa haraka kisa kupisha polisi wafanye uchunguzi wao,, polisi wanafika eneo la tukio baada ya masaa kupita,, ni vema kuokoa maisha ndipo uchunguzi uendelee hizo protocols zingine naona ni za kikatili sana
 
Mkasa wa kusikitisha unaoonyesha serikali iliyoshindwa kila kitu. Tatizo ni kuwa mtanzania ukimwambia tudai katiba mpya itakayotupa viongozi bora atakwambia ''katiba haileti chakula mezani''
 
Ila safi huyo baba kunyooshwa, unaacha familia iteseke njaa afu hela unaenda kunywea pombee? Ilimbidi huyo mama amminye hilo tumbo atapike pombe yotee.

Shenzzzy zake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusihukumu tusiyoyajua
Laiti yeye angesimulia kwanini anakunywa pombe kupindukia na ikawa sababu ni mama
Tungeanza kutoa pole kwa mlevi
Nyumba hizi zina mambo mengi sana
Ndio maana najichunga sana kuwa hakimu
 
Namshukuru Mungu miaka kadhaa nyuma nilipata ajali niligongwa na bodaboda wasamaria wema wakanipandisha kwenye bajaji huku navuja damu nyingi kichwani wakanipeleka hospital!
Wangenichelewesha sijui ingekuwaje,hii imenipelekea na Mimi kuokoa watu kadhaa kwenye ajali ingawa ni too risky sana
 

Pole kwa mikasa mkuu,, nini kifanyike kutatua haya mambo ili watu wengi wasaidiwe maana kuna watu wengi wamekufa kwa kukosa msaada wa haraka,, maana hata miundo mbinu kwenye baadhi ya maeneo haisuport polisi kuwahi lkn watu watakaa hapo kusubiri hadi polisi wafike mwisho wasiku mtu anakata roho,, lkn pia kuna maeneo yenye miundo mbinu mizuri lkn polisi wanachelewa kufika na ukiwa kiherehere sana ni majanga pia 😐
 
Tunaomba sheria au sera za majanga au ajali ziangaliwe upya ..pia ikiwezekqna pf3 ziwepo hospital na sio polisiπŸ“Œ
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa kulikua na ulazima gani wa mama kumkalia juu mmewe akiwa uchi?

Ili kipigo kimuingie vizuri...

Ila hao watoto wali fanya u-snitch sana kwa mzee wao. Yani mama anachinjwa kumbe ndio baba ananyongwaa..

Au watoto walikuwa wanapiga kelele kwa code..
 
Kwa nyakati hizi unakufa laivu huku watu wanachukua video na kukimbia.

Hakuna anayetaka matatizo.
 
Nimecheka sana huu ni ukweli 100%√
Yaani polisi ukiwapa hela hata usiongee sana. Wenyewe ndio wanakwambia fulani ndio katuambia, unafikiri sisi tungejuaje!

Yaani hata ukitokea msala kazini ukabananishwa, wewe polisi sijui mpelelezi mpeleke bar mpe bia 3 na nyama.
Hapo hapo anaanza kufunguka kwamba yule bosi kwenye idara yako kuwa naye makini sana, yeye ndio amekuchoma sana. Sasa wewe ukisharudi lazima umchunie bosi kiaina.
 
Kuna chanel inaitwa investigation discovery wale jamaa wako very professional linapofika swala la uchunguzi. Kama wanachunguza jambo ikatokea kuna mtu ana maelezo kuwapa mwanga wa tukio wanampa ushirikiano mkubwa, huku kwetu maraia wanaogopa sababu ya mambo kama haya.
 
Mm nilipata ajali pia wasamalia wema walinisaidia nikafika hosptal mm sijali police walete huo ujinga wao ila km naweza msaidia binadam mwenzangu akihangaika kuutete uhai wake lazima nitamsaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…