Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

Sababu ya watu kuogopa kutoa ushahidi kwenye baadhi ya matukio aliyo shuhudia live na wengine baadhi hukimbia kabisa

Juzi nafungua radio clouds, nasikia askari anahojiwa kuhusu namna raia wanavyo ogopa kusaidia watu wanaopata ajali kwa kuhofia kulazimishwa kutoa maelezo na kuripoti police kila mara...
Cha ajabu huyu ngadu aliyekuwa anahojiwa akawa anajibu kwa kufoka kwamba ni lazima raia unayemsaidia mtu ukatoe maelezo na lazima uhojiwe...
In short mangadu wengi ni wapuuzi hawana akili wanashindwa kutumia saikolojia hata ya mtoto mdogo... Sio jukumu la msamaria mwema kutoa maelezo, police anatakiwa afike eneo la tukio afanye uchunguz aondoke... Ila hapa Tz ukitoa msaada unageuka kuwa mharifu utaitwa kituoni na kutishiwa na kuombwa rishwa...
 
Back
Top Bottom