Kinkunti El Perdedo
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 5,616
- 14,106
Mkuu unacho amini wewe usitake kila mtu aamini kwani mim kuto amini katika uislamu nikaamini katika ukristo au nisiamini katika ukristo nikaamini katika uislamu nitapunguza kitu gani katika kutoamink uislamu? Au kuto amini katika ukristo na pia Mungu atapungukiwa nini kwa kuto amini katika njia fulani?Mimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah
Hujanielewa mkuuUache kutumia na smart phone kwa sababu imeletwa na mzungu pia. Usipande gari, bodaboda etc kwa sababu haijatengenezwa na mwafrika
Wakijibu hili unitag?Mnafunga au mnabadilisha ratiba ya kula.??
How can i link nature with my spiritual body? B'coz large part of this thread you talk about nature.Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani sio kwa ajili ya waislamu tu. Ni kwa ajili ya wanadamu wote. Na hizi hapa ndio sababu zangu.
Kwanza awali ya yote kwa wewe usio fahamu leo nakuelekeza Jambo moja utakuja kunishukuru baadae.
Moon Calendar "kalenda ya Mwezi" ndio kalenda iliyo sahihi... Hata Masonic calendar Ina comply na moon calendar kwa asilimia Mia moja.
Achana na Gregorian Calendar cause it is a fraud.
Haya sasa turudi kwenye mada yetu..
Dunia inatawaliwa na nature. Mungu anaitawala dunia kupitia nature.
Na binadamu ndio the most advanced part of the nature.
Kwa maana nyingine binadamu wewe ni sehemu ya nature ambayo inajitambua kwamba Ina exist.
Kama.ni simu " smart phone" Sasa iwe inajitambua kwamba Mimi.ni.smart phone nimetengenezwa na binadamu kwa mfano wake na kazi yangu kwa.binadamu ni moja mbili tatu.
Ndio maana Mungu alipo maliza kumuumba binadamu siku ya saba alipumzika kwa sababu alijua ametengeneza kitu kikamilifu ambacho kitamsaidia kuitawala nature.
Ili mchukua Mwenyezi Mungu miaka elfu moja kukamilisha kazi ya kumuumba mwanadamu.
Ni hivi Mungu haku iumba dunia kwa siku sita kama tunavyo aminishwa. Mungu ali fanya uumbaji kwa nyakati sita. Kila nyakati moja ilikuwa Ni sawa sawa na miaka elfu moja ya binadamu. Siku moja kwa Mungu Ni sawa na.miaka.elfu moja kwa binadamu.
Binadamu Ni nature na ametoka kwenye nature na kwenye nature ndipo atakapo rejea. Roho itarudi kwa Mungu ambae ndio source of nature na mwili utarudi kwenye mavumbi ya ardhi ambako ndiko ulipo twaliwa.
Nature ipo inter connected. We are one with each and everything. Hakuna chochote kilichoko katika ulimwengu huu ambacho hakipo ndani ya constitution ya mwili wa binadamu.
Katika dunia hii ukitaka kufanikiwa katika Jambo lolote lile Liwe Jambo la kiroho au ambalo sio Jambo la kiroho Ni lazima uwe master wa nature.
Ndani ya nature Kuna Kila kitu. Wenzetu wazungu wanalijua hilo ndio maana wanathamini sana nature. Vitu vyote vya msingi katika maisha yao wame vigundua kwa kutazama nature.
NI LINI ULIJUA KWAMBA MTU ALIE VUMBUA SINDANO ALI MSTUDY NYUKI? KWAMBA NYUKI AKI KUUMA HIYO NI SINDANO YA ASILI AMBAYO INA FAIDA KUBWA NDANI YA MWILI WAKO KULIKO CHANJO YA AINA YOYOTE ILE?
Ndio maana baadhi ya wazungu huwa wanakuja bongo ili wapate fursa ya walau kudungwa na NYUKI angalau mara.moja Kila baada ya miaka mitatu. ( Angalizo kama.na wewe unataka kugongwa na nyuki make sure haiwi nyuki wengi kwa sababu wakiwa nyuki wengi inageuka na.kuwa sumu ambayo inaweza kukuua..)
So ni lazima kujua nature inataka ufanye Nini wakati gani. Unaweza kujua Jambo Hili Kama una mahusiano mazuri na nature ama Kama unaijua nature , unaweza ku communicate na nature.
Sasa namalizia kwa kukushauri jambo ambalo litakusaidia sana katika maisha yako..
Ukitaka kujua nature inataka ufanye Nini wakati gani Basi wewe tazama.ni vitu gani ambavyo nature inavi produce kwa wingi wakati.huo. Kwa mfano KAMA TUPO KWENYE MSIMU WA MANANASI BASI JUA KWAMBA NATURE INATAKA.WEWE ULE MANANASI KWA WINGI WAKATI HUO..NATURE INAPELEKA UJUMBE KWAKO KWAMBA KATIKA KIPINDI HICHO CHA MSIMU WA MANANASI NDIO MWILI WAKO UNAHITAJI ZAIDI VIRUTUBISHO VITOKANAVYO NA MANANASI... UKIZINGATIA CONCEPT HII YA KULA KWA WINGI MATUNDA ETC KATIKA KIPINDI CHA MSIMU WA MATUNDA HAYO BASI KUUGUA WEWE UTAKUSIKIA KWA WATU TU KWA SABABU UTAKUWA COMPARTIBLE WITH NATURE..
Ni sawa na mtu anaepanda mahindi wakati.wa kiangazi vs mtu anae panda mahindi wakati wa mvua.. anaepanda wakati wa mvua obviously atakuwa favoured by nature. Namaanisha hivi Mimi ninaekula MANANASI kwa wingi wakati wa MSIMU wa mananasi benefits nitakazo zipata ndani ya mwili wangu ni KUBWA Mara Mia yako wewe ambae utakula mananasi katika KIPINDI ambacho si MSIMU wa mananasi kwa sababu wewe unakula tunda Hilo katika KIPINDI ambacho mwili wako hau hitaji mananasi. NDIO MAANA UNAWEZA KUKUTA TUNDA FULANI LINATIBU MARADHI FULANI. MWENZAKO ALITUMIA AKAPONA WEWE UNATUMIA HUPONI, SABABU INAWEZA KUWA NI HII KWAMBA WAKATI YEYE ANATUMIA MMEA HUO AU MTI HUO ILIKUWA NI KIPINDI CHA MSIMU WA MMEA AU MTI.HUO.
Ukitaka kujua nature inataka ufanye Nini wakati huo Basi wewe angalia nature Ina manifest Jambo gani wakati huo. Kwa mfano mvua imekukuta barabarani unatembea basi hapo nature inataka utafute mahali ujibanze etc.
Nature Ni Kama kinyesi huwezi kuzuia nguvu yake KWAKO
BACK TO MWEZI WA RAMADHANI.
Prophet Muhammad Peace Be Upon Him was introduced to Islam by Arch Angel Gabriel. Arch Angel Gabriel atakuwa anaijua nature vizuri kuliko Mimi na wewe. Malaika Jibril.ni.mmoja Kati ya malaika watatu wakuu ambao wanafanya kazi na Mwenyezi Mungu kwa ukaribu. Kama wangekuwa Ni mawaziri Basi Hawa wangekuwa Ni mawaziri wa nchi katika ofisi ya Rais. Walikuwepo wakati dunia inaumbwa..wanaijuia nature vizuri. So Jibril anaposema kwamba Ni muhimu kwa mwanadamu kufunga Kila ifikapo Mwezi wa Ramadhani ana maanisha kwamba KATIKA.KIPINDI CHA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NDIO MWILI WAKO UNAKUHITAJI WEWE KUFUNGA.. U WILL REAP A LOT OF HEALTHIER BENEFITS KWA KUFUNGA NDANI YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI KULIKO KIPINDI KINGINE CHOCHOTE KILE
Inategemea unafungaje? Sio kwa misosi ile wakati wa kufuturu na dakuHata wale wanaotaka kuloose weight kufunga inawafaa sana.
Mbuzibee [emoji238]
Unaupimaje huo usahihi?Kijana unatakiwa uwe muelewa,kwanza umeelewa ya kuwa mwezi muandamo ndiyo mahesabu sahihi ya nyakati kuliko ya kalenda ?
Sasa hizi nyingine sisi ndiyo tunaishi nazo.
Ni kweli mnabadilisha ratiba ya kulaTuambie nini maana ya kufunga ? Inaonekana wewe no mjuzi sana wa funga mpaka unatuambia tunabadilisha ratiba ya kula. Tupe faida.
UISLAMU ni dini aliyokuja nayo mudy 600 A.DMimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah
Mimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah
MUHAMMAD AMSILIMISHA SHETANIMimi nasema lau wakristo wangesoma au wakakubali kuujua uislam nanfaida zake nina hakika wangekubali na kumwamini Allah pekee na kila alichokiamrisha wakateleza na kuacha aliyoyakataza
Hakika namshukuru Allah kwa kunip njia ya kuingia ktk uislam. Alhamdulillah
Elewa kilicho andikwa na uwe unajibu hoja kwa kuonyesha ukweli wa unachokitetea.Unaupimaje huo usahihi?
Nyie majamaa mpo very primitive hivi unadhani watu waliamka tu wakasema tuanze kutumia Gregorian calendar.
Kuna sababu ziliwafanya waamue kufanya hivo
And by the way sio lazima kuitumia komaa na lunar calendar yako
Kuna muda kujadiliana na watu wajinga kama wewe ni kupoteza muda na kuitumia akili vibaya.Ni kweli mnabadilisha ratiba ya kula
Mnaanza kula usiku
kwa nature 😂We ulisikia wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tatizo la binadamu tunaishi kwa Unafiki, na kwa kujidanganya.
Siku ina masaa 24.
Wewe huli mchana wa jua kali.
Kuanzia saa 1 Usiku watu wamelala, unatafuna kikamilifu usiku kucha mpaka saa 10 alfajiri.
Wakati wengine tunaamka asubuhi, wewe umeshiba ndiiiiii.
Sasa hapo kuna kufunga au kubadilisha muda wa kula ???
Maana mimi nina uwezo wa kuishi hivyo mwaka mzima.
Anyway, ni mambo ya IMANI.