Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

Miaka elfu moja kwa Mungu ni sawa na siku moja na siku moja kwa Mungu ni sawa na miaka elfu moja

Sio maneno yangu kitabu kitakatifu kinasema hivyo
 
Aliumba dunia kwa siku 6. Halafu hapa unasema kwa nyakati 6. Hapa km mechakachua vile.
Shida ya bwana yule alikuwa hajui kusoma na kuandika. Ndiyo tatizo linaanzia hapo
Watu wanatumia Gregorian Calender. Na si nyingine
umekariri mkuu...kwani yule mwingine ye alienda shule....ukiwa na imani nadhani mitume wengi kama sio wote hawakusoma.....
 
Yule alikuwa Genius. Alipoingia kwenye sinagogi, alipewa The Holy Bible ('Isaya) asome.
Mwanafunzi mzuri ni yule anayejua kusoma na kuandika maana anaelewa kilichoandikwa

Sikatai lkn yawezekana mitume walipewa uwezo na mungu ...wa kufunua na kunena maneno kwa niaba ya mungu........anyway ugenius ulitoka wapi wakati hatuna historia yake ya kusoma popote na kuandika......
 
Majibu ya mtu alieshiba kitimoto
 
Kalenda zote ni feki. Ukitaka kujua jiulize zilianza lini, kwanini na nani alizianzisha. Hivyo, ukitetea moja na kuiponda nyingine, mbali ya kuwa dalili za kutojua na upendeleo, ni sawa na kuruka mkojo na ukakanyaga manonihino mwanangu.
 
Mwambie huyo unayedai yupo naye aje asithibitishe hapa kama utakavyo mwanangu. Kuwepo au kutokuwepo Mungu ni suala la mjadala hasa ukijua kuwa Mungu ni dhana tu.
 
Kwani dunia imeumbwa lini
 
Hizi dini za wakoloni zimetufanya tuwe watumwa kizazi kwa kizazi...wazungu sio waarabu wamefanikiwa kucheza na akili za mtu mweusi..
 
Ukitaka kujua sio mwezi wa Ramadhani nenda bar au club utashangaa mwenyewe hata pa kukanyaga hakuna..
 
Hizi dini za wakoloni zimetufanya tuwe watumwa kizazi kwa kizazi...wazungu sio waarabu wamefanikiwa kucheza na akili za mtu mweusi..
Hata waarabu hawana tofauti na wazungu. Kumbuka kwenye kutuuza utumwani walishirikiana na sasa kwenye utumwa wa kiroho wako pamoja huyu mkristo yule muislamu.
 
Mwaka una miezi kumi na mbili sasa huo ucha Mungu wa mwezi mmoja tu ni wa ajabu sana.Mwezi mmoja ndio mtukufu ni miezi mwingine si mitukufu aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…