Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Huyu ambaye akizidiwa hoja anaingiza kejeli na matusi, ndio unaona ni genius?Mkuu inaonekana wewe ni mgeni hapa JF. Hapa JF kuna watu wawili wanaogopeka na kuheshimika Sana linapokuja suala la kubishana kwa hoja.. Wa kwanza ni Kiranga na wa pili ni Likud. Hawa watu ni ma genius. Huwezi shindana nao kwa hoja mkuu..
Huyu ambaye akizidiwa hoja anaingiza kejeli na matusi, ndio unaona ni genius?
Huyu ana ubishi wa kijinga wala hana hii sifa unayompa hapa, kila nikimbana anaishia kuzunguka mbuyu tu, kiranga nimeshafaya naye sana mijadala huko nyuma, inaonekana hata wewe haunifahamu vizur mimi.
Labda alidhani LIKUD ni zamwamwa baada ya kuona kapost Uzi kuhusu mizimu na matambikoMkuu inaonekana wewe ni mgeni hapa JF. Hapa JF kuna watu wawili wanaogopeka na kuheshimika Sana linapokuja suala la kubishana kwa hoja.. Wa kwanza ni Kiranga na wa pili ni Likud. Hawa watu ni ma genius. Huwezi shindana nao kwa hoja mkuu..
Kwani wanao post habari za mizimu wanakuwaga mazamwamwa? Kuna connection yoyote?Labda alidhani LIKUD ni zamwamwa baada ya kuona kapost Uzi kuhusu mizimu na matambiko
So Kiranga una mmudu pia?Huyu ambaye akizidiwa hoja anaingiza kejeli na matusi, ndio unaona ni genius?
Huyu ana ubishi wa kijinga wala hana hii sifa unayompa hapa, kila nikimbana anaishia kuzunguka mbuyu tu, kiranga nimeshafaya naye sana mijadala huko nyuma, inaonekana hata wewe haunifahamu vizur mimi.
Huu ugonjwa unao wewe, maana unarudia kuandika yale yale, hakuna jipya, ulidai ndoa za dini hazidumu kwa sababu hazina baraka za mababu. Nimekuonyesha kwa data na sheria kuwa ndoa inalindwa na maadili na tabia njema ya watu wawili, ukakwama kabisa kujibu ukaanza kukagua ubikira wa wanawake, na saizi umerudi kulekule mahakamani ambako nimeshakutolea majibu. You are just running in circles, copy & paste master.Tatizo nishakwambia una shida ya Alzheimer. Nilishakwambia takwimu zipo. Mahakamani nenda kasome huko makumi elfu ya walio funga ndoa ma kanisani wakiomba mahakama iwasaidie kupata talaka wakati huko ma kanisani waliapa. Hadi kifo kiwatenganishe
Kwani Tanzania kuna ndoa za aina ngapi?Huu ugonjwa unao wewe, maana unarudia kuandika yale yale, hakuna jipya, ulidai ndoa za dini hazidumu kwa sababu hazina baraka za mababu. Nimekuonyesha kwa data na sheria kuwa ndoa inalindwa na maadili na tabia njema ya watu wawili, ukakwama kabisa kujibu ukaanza kukagua ubikira wa wanawake, na saizi umerudi kulekule mahakamani ambako nimeshakutolea majibu. You are just running in circles, copy & paste master.
Siongelei suala la kummudu mtu hapa, humu ndani mtu yeyote naweza kufanya naye mjadala as long as tubaki kwenye reasoning tu.So Kiranga una mmudu pia?
Nne.Kwani Tanzania kuna ndoa za aina ngapi?
Machawa wake nawakaribisha pia muungane naye, msaidieni kumpa hoja kabisa maana ameishiwa muda mrefu sana.Labda alidhani LIKUD ni zamwamwa baada ya kuona kapost Uzi kuhusu mizimu na matambiko
Soma replies zako uone nani alianzisha kejeli kati yangu na wewe, ushahidi si upo hapa hapa.Kejeli umezileta wewe. I was just matching your energy
Kejeli umeanza wewe..me mwanzako nimezaliwa uswahilini kabisa nyumba mganga nyumba mchawi.Soma replies zako uone nani alianzisha kejeli kati yangu na wewe, ushahidi si upo hapa hapa.
Nenda moja kwa moja kwenye hoja unayotaka kuiwasilisha.Zitaje
Ndio maana nimekwambia wewe unabishana kitu usicho kijua..Nenda moja kwa moja kwenye hoja unayotaka kuiwasilisha.
N.B kuna customary marriages pia.
Hii haina comeback... Mkuu LIKUD akikujibu nitag pleaseNdio maana nimekwambia wewe unabishana kitu usicho kijua..
Kwa mujibu wa hiyo Sheria ya Ndoa ( Marriage Act) ya Tanzania, Tanzania kuna ndoa ya aina moja tu. Nayo ni πππ
" NDOA INAYO TAMBULIWA NA SHERIA YA NDOA YA TANZANIA"
Kwa mujibu wa hiyo Marriage Act ya Tanzania, hakuna kitu kinaitwa Ndoa ya kikristu wala ndoa ya kiislamu, wala ndoa ya kiserikali, wala ndoa ya kimila. Ndoa inayo tambuliwa na Sheria ya Ndoa ya Tanzania ni ndoa ya aina moja tu kama nilivyo taja hapo juu " Ndoa inayo tambuliwa na Sheria ya ndoa ya Tanzania."
Ndio maana ndoa zote hupewa cheti cha aina moja na cheti hicho hutolewa na serikali.
Hizo kufunga ndoa kanisani, msikitini, Bomani, au kimila hizo ni ceremonies tu
So ndoa iliyo fungwa ni ndoa ya serikali Ila ceremony imefanyika kwa mujibu wa taratibu za kikristu, kiislamu, kimila. Etc.
Ndipo hapo niliposema huko kanisani kinacho enda kufanyika ni purely spiritual covenant. Mnaenda kufanya covenant kwa. Mujibu wa taratibu za utamaduni wa watu walio leta ukristu jambo ambalo sio sahihi kwa mwafrika.
Mwafrika anatakiwa kufanya ceremony ya ndoa yake kwa mujibu wa tamaduni za kabila lake. Mwafrika kufanya ceremony ya ndoa yake kanisani ni kwenda kukabidhi ndoa yake chini ya custody ya miungu ya kigeni..
Nimekusamehe kwa sababu kumbe ulikuwa hata haujui kinacho fanyika kanisani ndoa ikifungwa ni kitu gani..
Kumbe Imani zao nyingine ni zipi? ( za asili)Halafu huu mtazamo wa kudhani waafrika wote wao imani zao ni mizimu tu si sahihi.
Nigeria hapo katika imani zao wana imani pia ya Mungu mkuu ambaye ni tofauti na ukristo/uislamu na wanaamini miungu pia, na wana imani ya mizimu pia.Kumbe Imani zao nyingine ni zipi? ( za asili)