Acheni kulainsha mambo. Call spade a spade. Kubariki wanaojihusisha maana yake ni Nini? KwaNi lini mtu binafsi mwenye dhambi aliwahi kukatazwa ndani ya Kanisa Katoliki kuungama na kushirik huduma za Kanisa???
Tafsiri ya msimamo wa papa ni kuruhu Ushoga na Usagaji. Kwamba waendelee Kwa wapenzi wa jinsi moja na waendelee kupata huduma zote za Kanisa. Kwa maana rahisi RASMI CHUKIZO LA UHARIBIFU LIMESIMAMA MADHABAHUNI.
Kweli ni chukizo la uharibifu lililonenwa na nabii Danieli na kusisitizwa na Yesu mwenyewe
Danieli 9:27
[27]Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu.
And he shall confirm the covenant with many for one week: and in the midst of the week he shall cause the sacrifice and the oblation to cease, and for the overspreading of abominations he shall make it desolate, even until the consummation, and that determined shall be poured upon the desolate.
Mathayo 24:15-16
[15]Basi hapo mtakapoliona chukizo la uharibifu, lile lililonenwa na nabii Danieli, limesimama katika patakatifu (asomaye na afahamu),
When ye therefore shall see the abomination of desolation, spoken of by Daniel the prophet, stand in the holy place, (whoso readeth, let him understand
🙂
[16]ndipo walio katika Uyahudi na wakimbilie milimani........
Then let them which be in Judaea flee into the mountains.......
MTU HUYU AU MAMLAKA YA OFISI ALIYOKALIA INAJINASIBU KAMA NDIYO INAYOMKAIMU YESU DUNIANI (VICARIOUS).
Na hesabu ya namba ya jina lake japo ni ya kisiri bali ni hesabu ya kibinadamu yaani 666. (asomae na afahamu)
Sent using
Jamii Forums mobile app