Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

We si umesema serminal vesicles ipo jirani na mfupa wa Sacrum?

Sasa ona Biology inasema Sacrum ni Nini

The spine is composed of 33 bones, called vertebrae, divided into five sections: the cervical, thoracic, and lumbar spine sections, and the sacrum and coccyx

Biology inasema katika mifupa 33 inayotengeneza uti wa mgongo na Sacrum ipo

Kwahiyo Sacrum ni uti wa mgongo

Nilikuambia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupinga ukweli wa Mungu ulianza kuipinga Qurani na Sasa unapingana na Biology

Biology inasema Sacrum ni uti wa mgongo wewe unasemaje?
 
We si umesema serminal vesicles ipo jirani na mfupa wa Sacrum?
kwahiyo hapo ndipo baina ya mfupa wa mbavu na mgongo!!!!kwani shida ya Allah hapa ilikiwa nini??
Sasa ona Biology inasema Sacrum ni Nini
biology iko clear kabisa
The spine is composed of 33 bones, called vertebrae, divided into five sections: the cervical, thoracic, and lumbar spine sections, and the sacrum and coccyx
kabisa hii sacrum ndio kiswahili huitwa kiguku,ama kimkia.
Biology inasema katika mifupa 33 inayotengeneza uti wa mgongo na Sacrum ipo

Kwahiyo Sacrum ni uti wa mgongo
sasa hapa point yako ni ipi!!!mimi nimesema sacrum ni sikio??
Nilikuambia wewe ni kafiri na kazi ya kafiri ni kupinga ukweli wa Mungu ulianza kuipinga Qurani na Sasa unapingana na Biology
embh tulia basi uelewe unachoelekezwa usiwe mpuuzi kama huyo jamaa yako mtume.

Biology inasema Sacrum ni uti wa mgongo wewe unasemaje?
mimi nasema kwamba seminal vesicles hazipo baina ya mbavu na uti wa mgongo..
ziko chini kwenye uti wa mgongo na nyonga.

Allah hapa alikuwa anabeti na akagusa jini limemchania mkeka.
 
Umetoa matusi mengi na kejeli nyingi kumbe wewe ndio mjinga

Wenye akili wameshaona ukweli na wameshaelewa

Unamuwakilisha vyema mnyama 666
 
Umetoa matusi mengi na kejeli nyingi kumbe wewe ndio mjinga

Wenye akili wameshaona ukweli na wameshaelewa

Unamuwakilisha vyema mnyama 666

hakikisha unaninukuu,ili nikujibu moja kwa moja.

siwezi relaxy na kuna mtu anazeeka na ujinga wake kama wewe.
 
Nimekuambia uchore msitali Kwa sababu ufahamu wako ni mdogo
wewe ni mpuuzi kweli😂😂.
mimi ufahamu wangu hata Allah wako haufikii ambaye ndio mwalimu wako.

huo mstari chora weww ukatumia kufundishia watoto wanaocheza vigoma maulid.
Ila bahati mbaya uliyokutana nayo wewe mgalatia Mimi ni mwalimu wa
mwalimu gani wa wa ajabu namba hii!!!🤣🤣.sio ajabu watoto wa watu wanakuwa vilaza.
mwalimu unayesema tezi za uzazi zinapatikana baina ya mfupa wa mbavu na uti wa mgongo.😅😅

Qurani
Biology
Mathematics
Wajinga wa kigalatia kama wewe
komaa na Quran ukalipwe ubwabwa wa maulid na bikra 72 hizi taaluma za wagalatia waachie wenyewe utamtia matopeni Allah azidi kuonekana hamnazo.
Tumetoka katika Quran tukaingia katika Biology na sasa tunaingia katika Mathematics
twende kazi,sura gani ktk Quran iko accurate na hesabu za leo tumnawishe Allah mara nyingine kwa hisabati😂😂
Biology ilikukataa ikaungana na Qurani ona sasa na mathematics inavyokukataa na kuungana na Qurani
tuone😁😁.
Twende kazi
Ulisha kubali kuwa Seminal vesicles ipo karibu na Sacrum ambao ni sehemu ya mfupa wa uti wa mgongo na kunasehemu ya mwisho kabisa ya uti wa mgongo inaitwa Tail bone
hii bado ni biology,Allah kafa 0:12 biology inaongoza 12.unaingiza math tumzike kabisa.
Katika hiyo triangle hapo

Mstali no 4 ni uti wa mgongo

Mstali no 3 unatengeneza 90° kati ya uti wa mgongo na mbavu

Na msitali no 2 unaunganisha inapoishia mbavu na unapoishia uti wa mgongo
kwa kutumia mchoro wako wa pembetatu yaani 4,3,?
elezea uhusiano uliopo kati ya (4/3)(3/?)(4/?)
ikiwa 4/3=90%,3/?=45% ikiwa 3/? ni pembe constant.

Hilo eneo la hiyo triangle karibu Kwa chini kidogo ndio position ya Seminal vesicles
kwahiyo seminal vesicle ni nyuzi ngapi??na mpimaji anapima kutokea wapi??
Ndio maana Qurani ikasema seminal vesicles ipo baina ya mifupa ya uti wa mgongo na mifupa ya mbavu
bado haijathibitisha huo uzushi wake iliyozusha.
Yani wewe mgalatia umeshaingia Katika kitanzi Cha Allah na Kila unavyofurukuta ndio kitanzi kinazidi kukaza shingoni mwako
Allah alimkaba Muhammad pekee mimi haniwezi ntafanya vibaya akimbie kama mwizi.
 
😂😂🤣 Kumtete Allah ni kazi Sana
 
biology inasema wazi sacrum ni sehem ya uti wa mgongo ya chini kabisa mwisho au kimkia,ndio maana tunatafuta uhusiano ukaribu wake na mbavu mpaka sasa hatujaupata zaidi ya Quran pekee inayosema hizo ni sehemu mkabala[emoji28][emoji28][emoji28]

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hayo ni maelezo yako kuwa unatafuta uhusiano uliopo kati ya sehemu ya chini ya uti wa mgongo na mbavu

Nikakuambia chora mstali ukasema hauwezi kuchora sijashangaa maana kujua hesabu nako ni kipaji

Mimi nimekucholea hiyo mistali na nimepata triangle na eneo la Sacrum, blaader, na Serminal vesicles yote yapo ndani ya Triangle

Au unataka kuleta ubishi mwingine kuwa kati ya mbavu na uti wa mgongo hakuna distance hivyo ni ngumu kupata triangle?

Kuna distance kubwa tu ya kutosha ndio maana Kuna moyo hapo umehifadhiwa
Kama bado haujaelewa angalia tena michoro hapo chini na kama unaona haiwezekani hapo kuchora triangle toa hoja zenye mashiko sio brabra tu

Hata ukitaka tuchore triangle hapo Kwa vipimo maalumu Haina shida itachorwa

Wewe ni kilaza ila najua wagalatia wenzako wenye akili wanasoma kupitia wewe

Mstali no 4 ni uti wa mgongo

Mstali no 3 unaunga uti wa mgongo na mbavu

Mstali no 2 unaunganisha mbavu na Tail bone
 
lakini maelezo ya Allah yanapishana kabisa na hayo.
Nikakuambia chora mstali ukasema hauwezi kuchora sijashangaa maana kujua hesabu nako ni kipaji
kuchora mstari nayo ni ujuzi wa hesabu🤣🤣.
mimi nimekataa sababu Allah hakukwambia uchore mstari ili kusakafia maelezo yake,hayo ya kuchora matari ni ubunifu wako mpya😅.
Mimi nimekucholea hiyo mistali na nimepata triangle na eneo la Sacrum, blaader, na Serminal vesicles yote yapo ndani ya Triangle
hii triangle umeitoa wapi kwenye maelezo ya Allah???na hata kama umeamua kuibuni mbona haisadifu maelzo ya Allah!!!
Allah anasema baina,maana yake ni kati ya Point A mfupa wa mbavu na B uti wa mgongo.pembe tatu yako hii ni ya MCHONGO.

Au unataka kuleta ubishi mwingine kuwa kati ya mbavu na uti wa mgongo hakuna distance hivyo ni ngumu kupata triangle?
triangle unaipata wapi kwenye mwili wa binaadam abdul!!!!wewe muda si mrefu utatuambia Allah alitumia magazijuto kutoa haya maelezo.
Kuna distance kubwa tu ya kutosha ndio maana Kuna moyo hapo umehifadhiwa
Kama bado haujaelewa angalia tena michoro hapo chini na kama unaona haiwezekani hapo kuchora triangle toa hoja zenye mashiko sio brabra tu
maelezo ya distance mtu wa kwanza kukwambia ni mimi,kwamba zilipo mbavu mkabala na uti wa mgongo,Via vya uzazi havitakiwi kuhusishwa,100% possible Allah alikuwa ana beti.
Hata ukitaka tuchore triangle hapo Kwa vipimo maalumu Haina shida itachorwa
Unaweza ukachora na ukaweka vipimo vyovyote tu lakini bado havifafanui ni kwa namna gani Seminal vesicles zinapatikana baina ya mbavu na uti wa mgongo.
Wewe ni kilaza ila najua wagalatia wenzako wenye akili wanasoma kupitia wewe
😅kilaza ni Allah,mtume wake,wafuasi wake wote wanaotetea upumbavu hata wakifundishwa.
Mstali no 4 ni uti wa mgongo

Mstali no 3 unaunga uti wa mgongo na mbavu

Mstali no 2 unaunganisha mbavu na Tail bone View attachment 2708271View attachment 2708272View attachment 2708274
 
Umeshachanganyikiwa tayari unaandika vitu kama tahira

Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

Kwahiyo Hadi Sasa unakubali kuwa serminal vesicles ipo jirani na Sacrum ambayo ni uti wa mgongo?

Ila unakataa kuwa seminal vesicles Haina uhusiano wowote ki position na mfupa wa mbavu si ndio?

Nataka utoe point yako ya msingi niijue shida yako nini Hadi hapa tulipofikia

Maana tulianzia katika Quran

Tukaja katika Biology

Na Sasa tunaelekea katika Mathematics topic inaitwa coordinate geometry
 
Umekula bingo, shikilia hapo hapo [emoji817][emoji1417]
Mimi naijui Biblia tu.
 
Umeshachanganyikiwa tayari unaandika vitu kama tahira
aliyechanganyikiwa ni wewe unayechora triangle kwenye mwili wa binaadam😃😃,nakuuliza ya nini eti unaelezea neno baina ya mfupa wa mbavu na mgongo😂😂.
uchizi mwenye nao hajui.
Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.
ndio tuko hapa tunamkaanga Allah na wewe ndiye mpenzi wake unayemtetea,eleza kwa ni kwa vipi tezi husika zinapatikana aliposema mume wako wakati biology haisemi hivyo😄😄.
Kwahiyo Hadi Sasa unakubali kuwa serminal vesicles ipo jirani na Sacrum ambayo ni uti wa mgongo?
uti wa mgongo ni kama reli ya kati wewe mpuuzi,by default organ zote zinaegemea hapo,ni kati ya uti wa mgongo na nini ndipo tunajua ni organi gani zinapatikana.

Ila unakataa kuwa seminal vesicles Haina uhusiano wowote ki position na mfupa wa mbavu si ndio?
thibitisha wewe na Quran yako,si Biology wala mdogo wako wa form one anakubaliana na haya maelezo.
Nataka utoe point yako ya msingi niijue shida yako nini Hadi hapa tulipofikia
sina shida na wewe,wewe ni akili tu huna,mimi niko na Allah hapa,aseme hii elimu aliitoa wapi???wewe huna uwezo wa kumsemea yeye kaandika utumbo miaka 1400 iliyopita.
Maana tulianzia katika Quran
bado tuko ktk Quran.
Tukaja katika Biology
bado tuko katika biology
Na Sasa tunaelekea katika Mathematics topic inaitwa coordinate geometry
coordinate geometry unataka ku apply kwenye location ya seminal vesicle 😄😄.
mwalimu wa Allah wewe.
 
Uhusiano uliopo kati ya mifupa ya mgongo na Seminal vesicles huko tumeshamaliza

Kwa sababu wewe mwenyewe post no 185 ulisema mfupa uluyojirani na Serminal vesicles ni Sacrum

Nikakuambia hi kauliyako usije ikataa baadae maana nilikuwa najua kuwa umeshaingia Katika kitanzi maana mfupa wa Sacrum ni uti wa mgongo

Sasa nakuona kama vile unataka turudi nyuma kuhusu uhusiano uliopo kati ya Seminal vesicles na uti wa mgongo wakati huko tumeshatoka

Au unataka kuwapoteza Wagalatia wenzako Ili wasielewe maana hapa Mimi nakufundisha we na wagalatia wenzako sio Waislam

waislam wanayajua haya tokea karine ya 6

Maana Naona maelezo yako unatamani uhiyamishe hiyo serminal vesicles apo jirani na Sacrum

Tunachotafuta Sasa ni uhusiano uliopo kati ya mifupa ya mbavu na hiyo seminal vesicles

Kwa mfano mifupa ya mkono haina uhusiano wowote na Serminal vesicles

Sasa wewe kama unao ushahidi wenye mashiko kuwa mifupa ya mbavu Haina uhusiano wowote na hiyo seminal vesicles toa ?
 
Uhusiano uliopo kati ya mifupa ya mgongo na Seminal vesicles huko tumeshamaliza
kabisa,hapa tunatafuta mfupa wa mbavu umehusikaje.
Kwa sababu wewe mwenyewe post no 185 ulisema mfupa uluyojirani na Serminal vesicles ni Sacrum
ndio uhalisia sio hekaya zangu binafsi kama zilivyo zako za kuchora pembetatu.
Nikakuambia hi kauliyako usije ikataa baadae maana nilikuwa najua kuwa umeshaingia Katika kitanzi maana mfupa wa Sacrum ni uti wa mgongo
kitanzi gani??mbona unatengeneza jini linakutisha mwenyewe😂😂😂,mimi kwa kujiamini kabisa nilikuandikia hivyo sio kwa kubahatisha kama Allah alivyofanya,labda hukuelewa hata kwanini mwenzako alilala mbele kwenye mada ya damu iliyo ganda na a pande la nyama,
uwe makini kwenye kila ninachokuandikia,na kila swali ninalokuuliza.
Sasa nakuona kama vile unataka turudi nyuma kuhusu uhusiano uliopo kati ya Seminal vesicles na uti wa mgongo wakati huko tumeshatoka
sijataka turudi nyuma,wewe unayetaka kuingiza hesabu za darasa la nne za pembetatu kwenye michoro ya viunzi vya binaadam na hujaweza kueleza,kivipi tezi za uzazi zinahusika na mbavu,ni dalili ya kukimbia mada kimuhammad muhammad.
Au unataka kuwapoteza Wagalatia wenzako Ili wasielewe maana hapa Mimi nakufundisha we na wagalatia wenzako sio Waislam
sure waislam wote wanaungana na Allah kwamba seminal vesicle zinapatikana baina ya uti wa mgongo na mfupa wa mbavu😂😂😂,hakuna mgalatia anajua hivi wote tunataka kujua KIVIPI???seminal vesicle zinapatikana baina ya mfupa wa mbavu na uti wa mgongo.
tumia kamusi
tumia alkasus
tumia kobazi
tumia bargashia
tumia alkaaba
tumia chochote mpaka tuelewe😂😂
uwanja ni wako.
waislam wanayajua haya tokea karine ya 6
kabisa waislam wanajua pia
jua huzama kwenye tope
nyota ni mapambo ya anga
mariam ni dada wa harun
Quran ilishusha haijaandikwa😂😂

Maana Naona maelezo yako unatamani uhiyamishe hiyo serminal vesicles apo jirani na Sacrum
Allah kaihamisha kwenye maelezo yake,mimi nimeikuta hapo😂😂.
Tunachotafuta Sasa ni uhusiano uliopo kati ya mifupa ya mbavu na hiyo seminal vesicles
10000%
Kwa mfano mifupa ya mkono haina uhusiano wowote na Serminal vesicles
uhusiano uliopo katika mfupa wa mkono na na hizi gland ni kwamba zote ni sehem ya mwili wa binaadam,ukitaka kuelezea kipi kinapatikana wapi katika mwili wa binaadam huna ulazima wa kuhusisha kimoja wapo katika kingine hapo.
Sasa wewe kama unao ushahidi wenye mashiko kuwa mifupa ya mbavu Haina uhusiano wowote na hiyo seminal vesicles toa ?
ushahidi nilio nao ni huu hapa chini.
kwa case ya kuelezea kwa kutumia mifupa,seminal vesicles zinazungukwa na mfupa wa miisho ya uti wa mgongo na mifupa ya nyonga.mfupa wa mbavu haupo kabisa kwenye maelezo hapo.
 
Attachments

  • IMG_2473.jpeg
    19.7 KB · Views: 1

Hujaongelea Kulazimisha dini kunatokaga wap
au kutishia kumuua mtu akiacha hii din yenu huwa kunatoka wap
 
ushahidi nilio nao ni huu hapa chini.
kwa case ya kuelezea kwa kutumia mifupa,seminal vesicles zinazungukwa na mfupa wa miisho ya uti wa mgongo na mifupa ya nyonga.mfupa wa mbavu haupo kabisa kwenye maelezo hapo.

[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
Hayo ni maelezo yako unasema ndio ushahidi wako ila umetoa ushahidi wa uongo

Unasema serminal vesicles inazungukwa na mifupa ya uti wa mgongo sio kweli

Hakuna sehemu yoyote ya uti wa mgongo yenye uwazi wa kuhifadhi organ

Huo mfupa wa Sacrum shape yake ni kama kiganja Cha mkono na upo Kwa nyuma huku mbele pako wazi na ndio Kuna organ kama blaader na hizo grand tena serminal vesicles ipo Kwa juu kabisa ya usawa wa mfupa wa Sacrum

Na mfupa wa nyonga upo kama bakuli huku mbele pako wazi na pia zumejaa Organ mbali mbali

Hivyo basi sehemu ya mbele ya nyonga na Sacrum ipo wazi hakuna mfupa wowote zimejaa organ tupu pamoja na hiyo serminal vesicles

Narudia tena sehemu ya mbele ipo wazi kabisa hiyo mifupa ya uti wa mgongo upo nyuma na mfupa wa nyonga upo nyuma na pembeni

Kama utaweka kijiti hapo kitatoka katika mbavu kitatoboa serminal vesicles na kuenda kugota katika uti wa mgongo

Ndio maana Qurani ikasema Seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mbavu na mifupa ya uti wa mgongo

Nilikuambia wewe mgalatia umeshaingia Katika kitanzi Cha Allah na kila unavyofurukuta ndio kamba inazidi kukaza shingoni mwako

Ila binafsi nimefurahi sana Kwa kuwafanya wagalatia wenzako wajue Quran ni maneno ya Allah Mungu muumba mbingu na aridhi

Ushahidi picha hizo hapo tena zimechorwa na wagalatia wenzako

TAKBIIIIIIIIIIIRI
 
Linapokuja suala la kushindana kwa hoja wakristo hushindwa mbele ya waislam mara zote

mara nyingi hukimbilia kwenye kejeli na matusi, ndugu zangu dini ni suala binafsi lakini si kiasi hicho kwamba uache kutafuta ukweli na kukubaliana nao kisa utauumiza moyo wako

Kwasababu mwisho hasara au faida itakua kwako mwenyewe

Imeandikwa kila mtu atabeba mzigo wake na kila mtu ataulizwa alitumia vipi akili aliyopewa
 
Qurani 86:7 -
Yatokayo baina ya mifupa ya mgongo na mbavu.

First:
ukikubali kuwa kweli Seminal vesicles ipo jirani na Sacrum ambao ni uti wa mgongo

Maelezo yako ni haya post no 185

""mifupa iliyo jirani na seminal vesicles ni,pelvic bones(left & right) na sacrum(kiguku)""

Second
Ikabaki kuzitafuta mbavu

Nikakuambia weka ushahidi wako kama seminal vesicles haipo baina ya mifupa ya uti wa mgongo na mbavu

Ukaweka ushahidi hu post no 207

ushahidi nilio nao ni huu hapa chini.
kwa case ya kuelezea kwa kutumia mifupa,seminal vesicles zinazungukwa na mfupa wa miisho ya uti wa mgongo na mifupa ya nyonga.mfupa wa mbavu haupo kabisa kwenye maelezo hapo.

Mimi nikakuambia umetoa ushahidi wa uongo Kwa sababu

Unasema serminal vesicles inazungukwa na mifupa ya uti wa mgongo sio kweli

Hakuna sehemu yoyote ya uti wa mgongo yenye uwazi wa kuhifadhi organ

Huo mfupa wa Sacrum shape yake ni kama kiganja Cha mkono na upo Kwa nyuma huku mbele pako wazi na ndio Kuna organ kama blaader na hizo grand tena serminal vesicles ipo Kwa juu kabisa ya usawa wa mfupa wa Sacrum

Na mfupa wa nyonga upo kama bakuli huku mbele pako wazi na pia zumejaa Organ mbali mbali

Hivyo basi sehemu ya mbele ya nyonga na Sacrum ipo wazi hakuna mfupa wowote zimejaa organ tupu pamoja na hiyo serminal vesicles

Narudia tena sehemu ya mbele ipo wazi kabisa hiyo mifupa ya uti wa mgongo upo nyuma na mfupa wa nyonga upo nyuma na pembeni

Kama utaweka kijiti hapo kitatoka katika mbavu kitatoboa serminal vesicles na kuenda kugota katika uti wa mgongo

Ndio maana Qurani ikasema Seminal vesicles ipo kati ya mifupa ya mbavu na mifupa ya uti wa mgongo

Nikakuwekea na picha kukuonyesha
Sehemu ya mbele ya Sacrum hakuna mfupa pako wazi Kuna organ tupu

Nikakuwekea picha kukuonyesha sehemu ya nyonga ya mbele ipo wazi pia Kuna organ tupu

Nikakuwekea picha inayoonyesha hizo organ zilizopo hapo mbele ya Sacrum na nyonga

Picha hizo apo chini

Broo Mimi nimemaliza maana ilibidi nikufundishe kama umtoto wa chekechea ila Kwa kuwa wewe ni mgalatia sikuona shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…