Sababu zilizonifanya niiamini Quran juu ya biblia

quran haisogei kwa ujuzi wa aristotle.
 
Umekimbia mada Yako kule umeanzisha mpya , umekimbia maswali

Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama..... Hii stage hapo juu mifupa tupu alafu ndio inakuja kuvishwa nyama imeshawahi kuwa captured kwenye ultra sound?
 
Weka aya acha porojo
Hujui kitu and umejizamisha mzima mzima kwenye dini ya waarabu alafu unajifanya kuisifia kwa ujinga wana kuchora tu wenzio... kufunua upumbavu wa Shetan wao... ushawekewa aya hapo mjinga wewe...
Na hii story huyu mjinga alikuwa amechukua story ya kijinga ya Alexander the great (Zul-qainain!)Allah anajifanya yeye ndie alikuwa anamuongoza anamuita mtume wake cha kushangaza Mtu ni homosexual LBGT maana Alexander the Great alikuwa ni mpenzi wa jinsia moja so uislam unapenda haya makitu... Eti alexander the great(Zul-qainain!) alitembea hadi akafikia mji ambao jua huwa linazama kwenye chemchem yenye matope and huo mji watu wanaishi pia... nii Aya ni uthibitisho kuwa Allah ni muongo na Mohamed ni nabii wa uongo na uislam ni uongo wa kutunga... Allah bora angekataa hakuna sunset ambayo ndio sayansi ila yeye kathibitisha kwenye Koran kuwa na sunset na jua liazama kwenye matope... upumbavu sana huu...
Chapter 18:86


18:86
حَتَّىٰٓ إِذَا بَلَغَ مَغْرِبَ ٱلشَّمْسِ وَجَدَهَا تَغْرُبُ فِى عَيْنٍ حَمِئَةٍۢ وَوَجَدَ عِندَهَا قَوْمًۭا ۗ قُلْنَا يَـٰذَا ٱلْقَرْنَيْنِ إِمَّآ أَن تُعَذِّبَ وَإِمَّآ أَن تَتَّخِذَ فِيهِمْ حُسْنًۭا

18:86
Mpaka alipofika machweo ya jua akalikuta linazama kwenye chemchem yenye matope, akawakuta watu karibu yake, ama mtawaadhibu, au muwatendee wema.

18:86
until he reached the setting ˹point˺ of the sun, which appeared to him to be setting in a spring of murky water, where he found some people. We said, “O Ⱬul-Qarnain! Either punish them or treat them kindly.”
 
Hakika Mungu aliyehai JEHOVAH hachunguziki na wala hafanishi na kazi za wanadamu za kisayansini Alfa n omega
 
Allahu Akbar.
 
Thibitisha Zul Qarnain ndo huyo Alexander umsemaye
 
Thibitisha Zul Qarnain ndo huyo Alexander umsemaye
Unanikimbia kila Kona hutaki kujibu swali la kisayansi ndani ya Koran

Quran 23:14 ...., kisha tukaliumba pande la nyama kuwa mifupa, na mifupa tukaivika nyama.....

-Hii stage hapo juu mifupa tupu alafu ndio inakuja kuvishwa nyama imeshawahi kuwa captured kwenye ultra sound?
 
Umeamua kuwa al shabab sawa sisi haituhusu na vi posts, tunafurahia kwa wakristo na still mademu wa kiislam tunapiga.
 
Kwahiyo wewe unasemaje?

Unataka kusema kuwa zilianza kuumbwa nyama baadae ikachukuliwa mifupa ikachomekwa Kwa ndani ?

Sio Kila kilichosemwa na Qurani upinge tu hata kama wewe ni kafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…