Nzige Mdudu
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,048
- 830
Ni jambo zuri pia kama lilishaanza kushughulikiwa na JK, lakini yeye JPM amekuja kulimzaliza na amerudisha nidhamu katika utendaji.Mishahara hewa ilianza kushughulikiwa toka enzi za JK, labda kwakuwa yeye alipoingia ndio alikuta utaratibu umeenza akatembeans mchakato.
Weka deni la taifa kwenye kipindi chake, linganisha na deni alilokuta la miaka 50+, kisha nipe return ya miradi aliyojenga kuendana na deni alilokopa. Sina hakika kama unajua terms za mikopo ya sasa na marejesho yake. Kama unamudu hoja hizo rejea.
Hii sio sababuMkuu tumia akili tu ya kawaida, umeshasema vyombo vya ulinzi na usalama, hivi unawezaje kutumbua vyeti fake? Na ikiwa kuna watu wameingia kwenye majeshi n.k kwa vipaji vyao tu. Lazima uzingatie usalama wa nchi.
Eti elimu bure michango kibaoKaondoa rushwa yote. Karejesha maadili kazini, kayabana majizi na mafisadi. Kazuia upoteaji wa mapato, kajenga viwanda, Kathubu kwenye mradi mkubwa wa umeme, kathubutu kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma, Karudisha elimu bure, karudisha heshima kazini, kazuia uizi wa madini yetu.
Mkuu tumia akili tu ya kawaida, umeshasema vyombo vya ulinzi na usalama, hivi unawezaje kutumbua vyeti fake? Na ikiwa kuna watu wameingia kwenye majeshi n.k kwa vipaji vyao tu. Lazima uzingatie usalama wa nchi.
Halafu njaa itawale,Wananchi ndio tumeamua tunamhitaji Magufuli. Tunahitaji Rais atakaye tuletea tren za umeme, ndege, atujengee miundombinu imara, na umeme wa uhakika,
Serikali hii, haina mambo ya kuunda tume kufatilia uozo, Ni tit for tat,unapomuona jamaa amefika sehemu ujue data zote anazo A-Z, kinachofata Ni maamuzi tu, kulingana na mamlaka aliyonayo kikatiba.Kura atakazopata mgombea wenu mwaka huu ni zile atakazo zawadia na Tume ya Uchaguzi.
Hata mumpambe vipi, HAKUBALIKI. Na sababu kubwa ni hulka yake ya ubabe na kupenda kujiamulia kila kitu.
Njaa itatawala kwa wavivu, wanaosubiri kutafutiwa na wanasiasa.Halafu njaa itawale,
Njaa itatawala pale ambapo mtashindwa kuwalipa wakulima wa korosho pesa zao,kuwalipa wakulima wa pamba pesa zao,mtashindwa kuongeza watumishi mishahara, mtashindwa kuweka mazingira mazuri ya ukuzaji wa sekta binafsi.Njaa itatawala kwa wavivu, wanaosubiri kutafutiwa na wanasiasa.
Mkuu kwa hali ya kawaida huwezi kutumbua jeshi, kama nilivyosema kwa sababu za kiusalama.Kwahiyo hao wa vyeti fake huko taasisi nyingine hakukuwa na wenye vipaji? Ukitaka sifa ya utendaji fulani hupaswi kuacha shaka ya maamuzi yako, Double standard ile haikuwa sawa, labda kwakuwa vyombo vya dola wanaweza kutumika kukandamiza wananchi na kumlinda kiongozi, na sio usalama wa nchi kama unavyotaka kusema...
Nina uwezo wa kutosha na ndio eneo nililo bobea. Nitakuacha njiani ama utaleta ubishi wa kitoto.
Mkuu kwa hali ya kawaida huwezi kutumbua jeshi, kama nilivyosema kwa sababu za kiusalama.
Tambua pia wapo wasomi wazuri mitaani ambao wana vyeti vizuri na taaruma nzuri lakini hawakupata nafasi kwa sababu ya watu waliokua na vyeti fake ambao wapo makazini.
Pia ni wavivuWanaomchukia JPM ni wivu tu, hawana sababu nyingine.
πππππππππ Rungwe anacheza game la siasa kama Messi yaaniNiko zangu zenji huku tunaimba UBWABWAAAAAA na Rais wangu kipenzi Hashim Rungwe Spunda . Sababu inanifanya nimkubali Rungwe ni vile hana stress kabisa yaani nchi itakuwa shwari no Stress ukitaka bahari unaletewa tu kamfereji ππππππππ