Sawa sawa.Ustaarabu unaosema ni ile mtu anakuwa mstaarabu hadi kuvaa kwake nguo ni kama mzee wa miaka 60.
Mitoko hakuna, hana exposure ya vitu vingi, ye ni kanisani, kazini na nyumbani.
Pombe hanywi, yupo too seriously.
Kwa hawa dada zetu wa kupanda juu ya meza huku ile nyimbo inachezami napenda shishaaaaa shishaaaaa shishaaaa....
Si kweli kwamba wanawake hawapendi wanaume wastaarabu kwa sababu kuna wanaume wastaarabu wanavuta bangi, kunywa pombe n.k
Hapa loint ni 6 na 7Mambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??
Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja
Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.
3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk
4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.
5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.
5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.
6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.
7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.
🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..
Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Si nikupe namba usababishe kwel??BGD6DUNYHWW Imethibitishwa Tsh500,000.00 imetumwa kwa ...
Kwann??Hapa loint ni 6 na 7
Mwanamke akiahajua kuwa unaweza kumreplace any time lazima akuheshimu.Kwann??
Hapa nawaza tu peke yangu mtu kakaa mahali na mpenzi wake anamweleza kuhusu pipi ambayo amemletea. Lazima kuna watu wapigwa na hiyo pipi, na wapenzi wao. LolMambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??
Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja
Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.
3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk
4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.
5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.
5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.
6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.
7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.
🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..
Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Au nimekosea?Sawa sawa.
Eti Mbuli Mghoshi??[emoji23]Hamna kitu umeandika hapo sijasikia vijiweni
Wanaume tunapiga mbuli sana, uongo mwingi
Hapana, upo sahihi kabisa.Au nimekosea?
Alafu wakitaka kuolewa wanakimbilia kwa wastaarabuWahuni wahuni. Wadada wengi hawapendi wanaume wastaarabu.
Ndio inavyokua mara nyingi.Alafu wakitaka kuolewa wanakimbilia kwa wastaarabu
Au sio.fantasys
Sasa jamani mie ushetani nautolea wapi ? Kwani kuwa na fantasy ni ushetani jamaniAu sio.
We shetani uache kuongelea Fandasi wewe.
Umemuona mke wa Mwala lakini ?Sasa jamani mie ushetani nautolea wapi ? Kwani kuwa na fantasy ni ushetani jamani
U lost me, mwala ndio nani na huyo mke wake mbona simjuiUmemuona mke wa Mwala lakini ?
Chelsea....code languageU lost me, mwala ndio nani na huyo mke wake mbona simjui
We mbaba uliendaga wapi? Ulimisika.Chelsea....code language