Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Mahusiano kila mmoja anasema lake kuhusu kudumu na mpenzi wake, kwa kweli ushauri ni mwingi kiasi kwamba kama mwanadamu wa kawaida ambae sio roboti inayoweza kuwa programmed huwezi fuata hizo hints zote.

kazi kweli kweli.
Hizo hints ni za kawaida saana japo kwa ujumla inategemea na kichwa cha mwanamke though ukiyatenda hayo lazima uathiri ubongo wa mwanamke maana utamkaa sana kichwani kwake
 
Kiazi kweli, yeye huyo mwanamke ni nani kwenye maisha yangu hadi nianze kufikiria ni jinsi gani asiniache kirahisi? Kwanini yeye ndo asifanye hizo jitihada ili nisimuache kirahisi

Mi sijali chochote.
 
vipi kuwatembelea kwa mpalange haisaidii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…