Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakubali🤜Mwanamke akiahajua kuwa unaweza kumreplace any time lazima akuheshimu.
Relationships are about sex, goals achia halland, so kwenye uwanja wa fujo wee pelekea moto kweli kweli plus these women have crazy fantasys ni wee tuu kumuweka at ease ili afunguke
Mapenzi hayataki logic ndugu angu shtukaHapa nawaza tu peke yangu mtu kakaa mahali na mpenzi wake anamweleza kuhusu pipi ambayo amemletea. Lazima kuna watu wapigwa na hiyo pipi, na wapenzi wao. Lol
Ova
Wastaarabu si ndo mabwege wao na hata akiolewa na mstaarab muuni akitaka anyimwiAlafu wakitaka kuolewa wanakimbilia kwa wastaarabu
Hizo hints ni za kawaida saana japo kwa ujumla inategemea na kichwa cha mwanamke though ukiyatenda hayo lazima uathiri ubongo wa mwanamke maana utamkaa sana kichwani kwakeMahusiano kila mmoja anasema lake kuhusu kudumu na mpenzi wake, kwa kweli ushauri ni mwingi kiasi kwamba kama mwanadamu wa kawaida ambae sio roboti inayoweza kuwa programmed huwezi fuata hizo hints zote.
kazi kweli kweli.
Shika unayoyamudu kwanza kupendwa wote sio lazimaMafundisho yamekua mengi, tushike yapi?
Ila dada zangu so wastarabu wao ndio wana mioyo ya kupokea rejected material.Ndio inavyokua mara nyingi.
Mi mzee saa hizi ndo nimeshtukaNi stage lazima upite Mkuu...hii kitu no formula
.
Nilitumwa Shule bhana.We mbaba uliendaga wapi? Ulimisika.
vipi kuwatembelea kwa mpalange haisaidii?Mambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??
Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja
Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.
3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk
4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.
5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.
5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.
6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.
7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.
🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..
Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Hapa tayari ndipo mambo ya kufugana yanaanza1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
Mjini akili nduguHapa tayari ndipo mambo ya kufugana yanaanza
Kuna waliosema hivo na bado wanaliaWanawake mchawi wao pesa tu, hayo mengine yote Ni mbwembwe tu