Sababu zinazoweza kumfanya mwanamke asikuache kirahisi

Kiazi kweli, yeye huyo mwanamke ni nani kwenye maisha yangu hadi nianze kufikiria ni jinsi gani asiniache kirahisi? Kwanini yeye ndo asifanye hizo jitihada ili nisimuache kirahisi

Mi sijali chochote.
Mi nakubaliana na hii attitude kikubwe usiwe unaliaga kwenye kioo cha chooni peke ako
 
Hoja zako zote ni sahihi.
Isipokuwa hiki la rough riding nguvu zenyewe ziko wap sasa! Km unataman kula had VAT!
 
Sisi wengine Mapenzi yashatushinda. Coz we love too much, so ukiwa na pesa utaumizwa, ukiwa Huna pesa utaumizwa, uwe handsome or not utaumizwa tu. Romantic or kinda rude utaumizwa tu.
Hayanaga formula ni mpaka umuotee mmoja mwenye atakuwa loyal na kwa kiźazi hiki wamebaki wawili tu mimi na mwingine sijui nani😅😂😂
Yaani unakuta mtu yupo serious anataka kukumiza kwa makusudi, hii kizazi ya hovyo sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…