Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Ingependeza usome post nzima, Juu kabisa ya post imeweka wazi sifa ya kabila flani sio kwa kila mtu bali imezoeleka kwa wengi (sio wote), kumcheki moja moja ni sawa na kumkuta mhaya ambae hajaenda shule useme kwamba wahaya hawajaelimika
Aliesema kaskazin usioe Hana tofaut na wewe...sema umeweka ujumuish wakat kiuhalisia ndo kama hivo wengi wao ni washirikina...kwa mbali labda wahehe..
 



Huko TISS waliingizwa na nani ?

Luhanjo?
 
Na mi huwa nasikia hivyo na huwezi amini watumishi wengi wa Mungu wa kweli wake zao pia ni kabila hizo 2 ,waliopo nje ya hapo majanga wengi na huduma zimekufa wengine ndo hivyo Tena ...
 
Sikuhizi mambo ya kujinyonga hakuna, ile ilikuwa ni spirit kutoka Kwa mkwawa....waombaji wamesimama kwenye zamu Yao ni salama kabisaa
Labda huyo mtu ss ye binafsi ,familia,ukoo wake wawe na hiyo shida...
 
Asili yake ni mmbena...sijajua mama yake ni WA wap
Ok, maana unaweza Kuta mama sio mbena na karithi huko pia....
Though wapo pia ambao sio wazuri,sio kwamba wote ni wazuri!
Ila % kubwa wako vzr sn
 
Aliesema kaskazin usioe Hana tofaut na wewe...sema umeweka ujumuish wakat kiuhalisia ndo kama hivo wengi wao ni washirikina...kwa mbali labda wahehe..
Hapana nawatetea, nimeishi zaidi ya 10 yrs iringa!
Sio kwamba hakuna wahehe wa hivyo lkn sio %kubwa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…