Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Wewe ni Mkinga?

Nakushauri siku moja ujaribu na Msukuma halafu uje ulete mrejesho hapa. Bila shaka utawakandia hata hao Wakinga wako ambao ukizubaa tu hawachelewi kukutoa kafara 😁😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Hahaha😃😃 wasukuma nawaogopa.. siwezi kumsahau yule jamaa aisee, sijui nilimfanyaga nini yani😓😓😒, wakinga wapewe maua yao🤗🤗
 
Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo



Hata wahehe ni hivyo hivyo.

Uchawi na ushirikina kwa sana, roho mbaya.

Hawatofauti sana na wapare.
 
Mleta mada hujawajua vizuri hao, tafuta kuwajua vizuri.

Au wewe mhehe umeamua kujifagiliwa lakini jamii inaujua ukweli.
 
Wengi hata asome vipi ushamba huwa hauwaishi.

Hata vaa yao hata akiwa na Neema ya vihela kuvaa vizuri ni mashaka matupu!
 
Watu wa Iringa na Njombe wanafanana sana na wapare kitabia.

Ni watu wakupenda kujipendekeza pendekeza (lobbing) kwa Viongozi,

Atakuchekea mdomoni moyoni anakung’onga.

Anachosema mdomoni sicho cha moyoni.

Wanapendeleana kwenye kazi na uongozi wana beana thana.

Ukiwa nao karibu unapaswa kuishi nao kwa tahadhari.
 
wahehe wa iringa wajeuri sana nazani huwajuhi vizuri na Ni moja kati ya makabila yenye watu wagumu sana kujipendekeza kwa watu Na ukitaka ubaya na wahehe mfanyie dharau na ni Watu wa visasi sana
 
Nafikiri wengi wao wana sura personal
 
Ni kubota haswa,wavumiliv tofaut na kina manka na saita!...japo kwangu nimechill na msukuma wangu hapa hakuna was wasi....lya bhatale elenele
Saitaa miyeyusho sana wale na miguu yao kama spoku
 
Mkuu kwa experience yangu hizi sifa zote ulizozitaja ni za kabila la wanyakyusa [emoji28][emoji28][emoji28] sio utani,namaanisha,wewe huwajuwi wahehe,tugayashida.
 
wahehe wa iringa wajeuri sana nazani huwajuhi vizuri na Ni moja kati ya makabila yenye watu wagumu sana kujipendekeza kwa watu Na ukitaka ubaya na wahehe mfanyie dharau na ni Watu wa visasi sana
Wewe unawajua vizuri mkuu, wanawake wanapigana na wanaume kuna bro kaoa huko daah sema ndio ndoa ya kanisa Mwanamke kambadirikia ndani sasa hivi wanakunjana mashati na kutiana makofi wanapigana mangumi kabisa hadi kutoana Meno na kuharibiana reception Mwanamke kiburi, jeuri, mtata noma sana
 
Mkuu kwa experience yangu hizi sifa zote ulizozitaja ni za kabila la wanyakyusa [emoji28][emoji28][emoji28] sio utani,namaanisha,wewe huwajuwi wahehe,tugayashida.
Wanyakyusa nao baadhi ni kipengele nakumbuka nilienda kwao pale nyumbani kuna vyumba hua vinabakia sasa Mama mkwe anasema nimewapa chumba kimoja hapo mnaweza mkaanza kuishi na hapo sijapeleka hata mahari wala sijachumbia naambiwa unaweza ukaanza kuishi nae binti yangu chumba kile pale nimewapa muanze kuishi pamoja, nilikataa
 

Hao wa Iringa ni damu ya Mkwawa. Ushujaa na uvumilivu upo.
Ukiambiwa kabila fulani Lina tabia flani,usichukulie masihara,nishachunguza sana hii kitu na nmegundua Ina ukweli asilimia kubwa,yani kama umetoka kwenye nyumba inayowaka moto hata usipoungua basi nguo zako zitanuka Moshi.Kila kabila Kuna sifa flani watu wake wanayo kwa wingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…