UmkhontoweSizwe
Platinum Member
- Dec 19, 2008
- 9,454
- 8,894
Waambie wajaribu kujichukulia sheria mkononi, ndipo watajua kuwa mahakama zinatoa HAKI!Kama Mahakama hazitoi HAKI tena basi msiwalaumu Watanzania watakapojichukulia Sheria mikononi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie wajaribu kujichukulia sheria mkononi, ndipo watajua kuwa mahakama zinatoa HAKI!Kama Mahakama hazitoi HAKI tena basi msiwalaumu Watanzania watakapojichukulia Sheria mikononi.
Hizi propaganda za chadema comrade Lengai ni mtu mwema mpole ila kwenye kazi Hana mchezo ,chuki za kisiasa TU .Na yake majeraha ya ulemavu (kama kukata sikio) aliyosababishia watu?
#YNWA
Arooo binamutz hapa hebu fanya kufingua pm yako bana.Huyu wamuachie huru tu watesi wake wamshughulikie.
Braza naomba nije pm kuna ishu unishauri uliwahi kunisaidia ishu fulani kitamboKama Mahakama hazitoi HAKI tena basi msiwalaumu Watanzania watakapojichukulia Sheria mikononi.
Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.
Hukumu hiyo iliyosomwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Abesiza Kalegeya, leo Ijumaa Novemba 17, 2023, imesema hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha, badala yake Mjibu rufani wa kwanza Lengai Ole Sabaya, alikuwa katika majukumu yake halali ya kufuatilia Makosa ya uhujumu uchumi kama ilivyoelezwa na Mashahidi wenyewe wa upande wa mashtaka.
Mahakama hiyo ya rufaa iliyokaa chini ya Mwenyekiti wake Jaji Jacob Mwambegele imeeleza zaidi kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyomtia hatiani Sabaya na wenzake, ilikosea kutochambua ushahidi unaoonyesha wazi kwamba, haiijawahi kutokea Jambazi akamate Mtuhumiwa, amnunulie Ndizi na baadae kumpeleka Polisi kama Mashahidi wenyewe walivyoelezwa kutendewa na Sabaya.
Majaji wameeleza hiyo ni aina ya kwanza ya unyang’anganyi wa Majambazi kuepeleka waliowaibia Mahakamani, na kuhitimisha kwamba Wajibu rufaa waliachiwa kihalali na Mahakama Kuu.
Mkurugenzi wa Mashtaka alikata Rufaa kupinga uamuzi wa Jaji E. Kisanya, kuwaachilia huru Lengai Ole Sabaya, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha.
Hapo kwa Judge Mwalusanya ongezea na Judge Lugakingira.Ukiona wanaopandishwa kuwa Justices of Appeal unaona kabisa kuwa kuna shida sana huko CoA! Ni hao judges kutoka High court ambako ni "mavi" maupu, "mavi" hayo yanapanda kwenda kwenye apex court! Soma hata kiingereza chao, shida tupu! Linganisha hukumu za bold judges kama Mwalusanya na za hawa UPE, utaona clear intellect difference, a very big one
Bwege kweli wewe hivi unadhani ubaya huwa unadumu?Safi sana Rais Samia , nyumbu wote watakuelewa sasa kwamba wewe na Magufuli ni kitu kimoja
bold spirits judges: The BOLD SPIRITS within the judiciary beyond compare of this time. Their immense and exemplary contribution in protection, promotion and defence of human rights during their service is written on hard rock. They demonstrated an impressive and firm stand by judiciary in its role of dispensing justice without fear or intimidation. c&pHapo kwa Judge Mwalusanya ongezea na Judge Lugakingira.
Ilikua suala la muda tu. Aliyofanya yote alitumwa na haohao. Cheo kinamfuata soon.Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.
Hukumu hiyo iliyosomwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaa, Abesiza Kalegeya, leo Ijumaa Novemba 17, 2023, imesema hakukuwepo na tukio la unyang’anyi wa kutumia silaha, badala yake Mjibu rufani wa kwanza Lengai Ole Sabaya, alikuwa katika majukumu yake halali ya kufuatilia Makosa ya uhujumu uchumi kama ilivyoelezwa na Mashahidi wenyewe wa upande wa mashtaka.
Mahakama hiyo ya rufaa iliyokaa chini ya Mwenyekiti wake Jaji Jacob Mwambegele imeeleza zaidi kwamba, Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyomtia hatiani Sabaya na wenzake, ilikosea kutochambua ushahidi unaoonyesha wazi kwamba, haiijawahi kutokea Jambazi akamate Mtuhumiwa, amnunulie Ndizi na baadae kumpeleka Polisi kama Mashahidi wenyewe walivyoelezwa kutendewa na Sabaya.
Majaji wameeleza hiyo ni aina ya kwanza ya unyang’anganyi wa Majambazi kuepeleka waliowaibia Mahakamani, na kuhitimisha kwamba Wajibu rufaa waliachiwa kihalali na Mahakama Kuu.
Mkurugenzi wa Mashtaka alikata Rufaa kupinga uamuzi wa Jaji E. Kisanya, kuwaachilia huru Lengai Ole Sabaya, Sylivester Nyegu na Daniel Mbura, waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela na Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha.
Jamhuri ndiyo imeshindwa rufaa
Mkuu unazionea mahakama bure, Kwa sababu mshatakiwa alikuwa ni mtumishi wa serikali, waandaa mashaka ni watumishi wa serikali, askari waliomkamata ni watumishi wa serikali na muda fulani walikuwa chini ya mshatakiwa wa serikali huyo, wapelelezi ambao ni askari ni watumishi wa serikali na mawakili wa serikali ni watumishi wa serikali!The expected! Mahakama za kishenzi. Kama walitoa hukumu kuwa Wakurugenzi kusimamia kura haina shida kwa vile wameapa kutenda haki, basi ujue hakuna mahakama ni takataka tu mbona wanajeshi wanapindua serikali ingawa wamaapa? chini ya viapo vyao?
Ninachojua kabisa ni hiki,Mahakama ya Rufaa ya Tanzania imetupilia mbali Rufaa iliyokatwa na Upande wa Jamhuri, ikipinga uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Arusha, kumuachilia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamehukumiwa Kifungo cha miaka 30 jela.