Sabaya ole Lengai dawa ya Mafisadi, karibu tuwatibu wagonjwa wenye ugonjwa wa ufisadi, wizi na wauza madawa ya kulevya

Mila mtu anajua wezi na majambazi wengi wanatokea hiyo Mitaa ya Kilimanjaro na Arusha ambao Sabaya alikua akideal nao wakiongozwa na yule DJ Gaidi. Wezi hawa ndo walioongoza mpango mzima wa kuhakikisha Sabaya anashitakiwa kwa makosa ya kubambikiwa, ndo maana wakaandaa utitiri wa watu kwenda kufungua kesi zisizokua na kichwa wala miguu kule TAKUKURU. Kwahiyo ni dhahiri kabisa usalama wa Sabaya kwenye maeneo hayo ni mdogo, siyo kwasbbu aliwafanyia watu vibaya lakini watu wanakisasi nae kwsbb aliwaharibia deal zao.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Mimi namkubali sana SABAYA.
Nimefurahi sana kitendo cha kumwacha huru ndugu huyu(SABAYA)
Nakumbuka siku moja alipambana na Genge fulani la matapeli waliojulikana kama Q-net.
Hawa walikuwa wakiwatapeli fedha nyingi hasa Watumishi wa umma.

Baada ya kufanikiwa kuwabana miongoni mwao kutoka nadhani ilikuwa Kilimanjaro, mtandao wote hadi huku kwetu ulisambaratika. Mpaka leo hakuna Q-net tena.
Hongera sana mpambanaji, SABAYA.
 
Nikimwona SABAYA, namkumbuka JPM. Maana SABAYA hakutaka ujinga ujinga wakati wa utawala wake the same as JPM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…