Mila mtu anajua wezi na majambazi wengi wanatokea hiyo Mitaa ya Kilimanjaro na Arusha ambao Sabaya alikua akideal nao wakiongozwa na yule DJ Gaidi. Wezi hawa ndo walioongoza mpango mzima wa kuhakikisha Sabaya anashitakiwa kwa makosa ya kubambikiwa, ndo maana wakaandaa utitiri wa watu kwenda kufungua kesi zisizokua na kichwa wala miguu kule TAKUKURU. Kwahiyo ni dhahiri kabisa usalama wa Sabaya kwenye maeneo hayo ni mdogo, siyo kwasbbu aliwafanyia watu vibaya lakini watu wanakisasi nae kwsbb aliwaharibia deal zao.Technicalities katika uendeshaji wa kesi na kumuondolea hukumu mhalifu hazimuondolei pia ushenzi wake alioufanya katika jamii. Jamii inakumbuka kila jambo alilofanya akiwa DC na ulinzi wa dola akitembea nao.
Ni kwa vile sasa hivi hatoki jela kwani ana kesi nyingine ya uhujumu, lakini vinginevyo tungewaambia akatembelee mitaa ya Arusha mjini au kule Kilimanjaro muone bila ulinzi kama hata pigwa kama kibaka
Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app