toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Hizo Nick name za wakora zimeniacha hoi
Et Udongo wa maka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimecheka sana aisee daaaaah [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Nick name za wakora zimeniacha hoi
Et Udongo wa maka!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naangalia age profile naona kuna tataizo mahali1. Kaburu Mohamed kaburu,(30),Mkazi wa Buza Kanisani.
2. Iddi Ally Kiduku, Miaka 30, Mkazi wa Tandika...
Dar, pwani wenyeji ni waislam. hao ni watoto wa mjiniN
Ni majina tu, ila kwa kuangalia juu juu "wenye majina ya kiislam" mi wengi!
Yani ni soo [emoji16][emoji16]Huyo anaonekana huwa anadaka mabomu ya askari polisi wakirushiwa, hujasoma hapo Juma Mabangi[emoji1787][emoji28]
Mtu akikosa ajira ndio akavunje duka la raia mwema?Ukosefu wa ajira kwa vijana ni BOMU linalosubiriwa kulipuka. Mungu aepushie mbali tusije kutengeneza Bokoharam wetu!
Du😳Wangewafanyia ile kitu ya "walipigwa risasi walivojaribu kutoroka wakati wanaenda kuonesha maaskari walipoficha silaha"
Naunga mkono hoja.Wangewafanyia ile kitu ya "walipigwa risasi walivojaribu kutoroka wakati wanaenda kuonesha maaskari walipoficha silaha"
Great thinkers ni noma. Kuna mmoja kasema mbona ni waislamu watupu.Naangalia age profile naona kuna tataizo mahali
vipi haieleweki au?1. Kaburu Mohamed kaburu,(30),Mkazi wa Buza Kanisani.
2. Iddi Ally Kiduku, Miaka 30, Mkazi wa Tandika...
Huo ni uchochezi yaani mnataka kubadiri mada iwe ya dini tena jamani?Ni majina tu, ila kwa kuangalia juu juu "wenye majina ya kiislam" mi wengi!
Majambazi wengine huwa hawakamatwi, wanakamatwa vijambazi vidogo vidogo.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea na Operesheni Maalum ya kupambana na vitendo vya kihalifu Katika maeneo yote ya Jiji la Dar es Salaam katika dhima nzima ya Usalama wa Raia na Mali zao na limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa 20 na vielelezo mbalimbali kama ifuatavyo:
😂😂😂Kuna nyingine inajiita "Mdaka bomu" aisee