Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Mimi mtu yyte anotaka kuelimishwa juu ya Uislamu mm nipo anitafute
Tutaenda hoja kwa hoja kma antka auelewe Uislamu hlf Uislamu una nafasi mtu huyu Asilimu au la mna hakuna kulazimishana katika dini ila ukishaijua haki lazima uifuate
 
Dangote ni mkristo? Naomba Jibu
 
Mkuu kabla yao kulikua hamna unga au bidhaa kama wanazouza wao?watoto wa juzi bana mna hoja dhaifu.

Enzi za nyerere,mwinyi,mkapa bidhaa zilikuwepo za ubora wa hali ya juu kuzidi za unaowataja
 
Mkuu kabla yao kulikua hamna unga au bidhaa kama wanazouza wao?watoto wa juzi bana mna hoja dhaifu.

Enzi za nyerere,mwinyi,mkapa bidhaa zilikuwepo za ubora wa hali ya juu kuzidi za unaowataja
Basi kawaambie hao ulowataja walete izo bidhaa tena mbona hatuzioni masokoni

Halafu inaonesha Ata hujui business circle ww uyo alotakiwa ajibu hii hajajibu mna anajua hana la kujibu ni chuki tu alozipandikiza
 
Na mwingine kafikia kujitapa kusitisha bidhaa za mo na bakhresa eti tukome😂😂😂😂
Naona mjadara umegeuka kwenye kusifia dini ipi ni bora na sio maswala ya michango tena.
 
Umepanic balaa. Niliowataja ni marais wa awamu zilizopita

Mbona zipo za kutosha tatizo umeweka udini umekupofusha macho. Hata wenye bidhaa wanakushangaa kutaka kuwapotezea wateja
Basi kawaambie hao ulowataja walete izo bidhaa tena mbona hatuzioni masokoni

Halafu inaonesha Ata hujui business circle ww uyo alotakiwa ajibu hii hajajibu mna anajua hana la kujibu ni chuki tu alozipandikiza
 
Kuna kitimoto? Tena ile rosti na ndizi pembeni
Mimi mtu yyte anotaka kuelimishwa juu ya Uislamu mm nipo anitafute
Tutaenda hoja kwa hoja kma antka auelewe Uislamu hlf Uislamu una nafasi mtu huyu Asilimu au la mna hakuna kulazimishana katika dini ila ukishaijua haki lazima uifuate
 
Imefika wakati kwenda kanisani ni Kama unaenda bar, Yani unajiandaa na sadaka za kutosha na Kama unaenda na familia jiandae kutoa sio chini ya 30.

Halafu imekuwa kama kwa mafarisayo na masadukayo, wenye fedha wanawekwa zile seat maalum especially KKKT ni balaa hapo ukutane na mchungaji anatokea Ile kabila ya wapenda pesa kushinda utu mtakomeshwa masadaka.

Muumini ukifahamika una kazi fulani yenye wadhifa na pesa ujue wanakukariri kwenye mavuno utasikia jina lako tu.

Kiukweli wanatukwaza kwa michango ukiacha kwenye jumuiya mpaka unaona ukristu ni mzigo sasa. Watabeba dhambi zetu.
 
Na mwingine kafikia kujitapa kusitisha bidhaa za mo na bakhresa eti tukome😂😂😂😂
Yan imekuwa promotion ya dini sasa. Dhehebu kutokuwa na michango mingi kwa waumin wake haiwapi guarantee ya kuwa ndio dini ya kweli na wala dhehebu kuwa na michango mingi haimaanishi kuwa ndio dhehebu la uongo. Chamuhim we amin jitaidi kutafta ukwel ulipo ukiwa na akili ambayo haijafungwa na dini.

Utajiri wa wahumin sizan kama una manufaa yeyote kwenye iman husika
 
Ujue Mungu naye anakaribia kufilisika hivyo sadaka ni muhimu, toeni wala msichoke "mnajiwekea hazina mbinguni"
Account ya Mungu nitaileta hapa mda si mrefu muwe mnaweka sadaka zenu na kubarikiwa ili msitoe moja kwa moja wezi na nondo wataziharibu
 
Kwenye msikiti wetu sadaka ikitolewa inahesabiwa hapohapo kinachopatikana huamuliwa na waumini nini cha kufanya k.m bill ya umeme maji nk.Kama kuna jambo kubwa la kufanya mskitini kila anaahidi kiasi atakachochangia kwa uwezo wake
 
Ujue Mungu naye anakaribia kufilisika hivyo sadaka ni muhimu, toeni wala msichoke "mnajiwekea hazina mbinguni"
Account ya Mungu nitaileta hapa mda si mrefu muwe mnaweka sadaka zenu na kubarikiwa ili msitoe moja kwa moja wezi na nondo wataziharibu
Hz ni laana unajitakia
 
Mnachanga kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa weeee..hatimaye kanisa Linamalizika mnahamia.unakuja mchango wa kujenga ukumbi/Shule au Kitega uchumi cha kanisa,kikishajengwa mnahudumiwa kama wateja kwenye hivyo vitengo..Wakristo Mbinguni tutaingia Tukiwa tumechoka mbaya
 
shule za kanisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…