Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Hahhahaah

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
πŸ”₯πŸ˜πŸ˜…πŸ˜‚ Sema yote mkuu.

Wenzio Kanisa tumeamishia Nyumbani. Kristo tupo nae.
 
Toa ndugu, toa ndugu ulichonacho wewe...

Bwana anakuona mpaka rohoni mwako...

Wiki nzima Bwana Mungu amekulinda vyema...

Sasa nawe ndugu, umrudishieee...

Haya wote, tuimbeeeee
Holy shit, futa hii πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Umempa majibu mazuri sana.
 
Bado unasafari ndefu sana ya Kiroho.
Kuwa Uyaone.

'I LOVE JESUS'
 
Leo nimewakatalia wana kanisa walikuja nyumbani kuniomba msaada tena,kuna wakati niliwasaidia sasa imekuwa nongwa ,wanataka kunifanya BOT
 
Makanisa mengi ya β€œkiroho” kiukweli yanaoperate kama business entities flani hivi.

Niliwahi kumsikia mtumishi mmoja akijustify hela anazotoza watu wanaokwenda kumuona ili waponywe kwa kudai kwamba mbona hawalalamiki pale wanapotozwa hela hospital?😊. Hata hawa wanaorusha mahubiri kwenye radio na TVs, emphasis in most cases huwa ipo kwenye miamala.

Ili mtu usipate stress na kuishia kumkufuru Mungu wa kweli, ni bora kutoa sadaka kwa utashi wako binafsi na sio kwa pressure au influence ya mtu flani (kuona aibu, watanichukuliaje etc) huku ukilalamika na kutukana moyoni
 
Huku msikitini kwetu sadaka yetu tunalipia maji na umeme ambavyo hivyo vitu tunavitumia sisi wenyewe,, imamu/kiongozi wetu yeye mitikasi yake fundi ujenzi sio kwamba anategemea sadaka ka mzee wa upako,, na mara nyingine imamu wetu akipiga mishindo yake kwenye mitikasi yake ya ujenzi shoo ya umeme na maji anamaliza yeye mwenyewe so atuchangishwi,, huu ndo uislam
 
Hiyo kwa roho na kweli unamtaftia wap?
Bible inataka ubatizwe stil utaingia tu kwenye makanisa
na ukiilewa bible tofauti na ilivyokubalika na wengi tuna ku-label huna roho mtakatifu.
 
Hata nabii Tito, yule shoga mlevi, naye alikuwa anakusanya sadaka!!!
 
Ukristo unahubiri kusaidia wajane na wenye uhitaji utakua husomi biblia wewe..halafu uislam ni dini inayoamini kuokolewa kwa matendo..hawana neema wala haki ya kuokolewa...hivyo hudhani matendo yanatosha kiwaokoa kitu ambacho sicho..mana asili ya mwanadamu ni dhambi hivyo hata ufanyeje huwezi ishinda zambi kwa matendo.

Njia pekee ya wokovu ni kupitia imani na haki ya kristo Yesu.

Usipotoke ndugu..shetani anamitego mingi..hata hivyo sadaka hujalazimisha kutoa..toa kadri ulivyobarikiwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii mbanga imekuwa serious, nilitaka nihamie huko ila kumbe nako jau u?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lunch na bwana yesu nimeipenda!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…