Sadaka zimekuwa nyingi sana, dini imekuwa biashara

Ni kweli sadaka zimekuwa nyingi sana..makanisa Yesu anawaona na siku ya hukumu mutajibu
Sadaka ya ukombozi
Sadaka ya fungu la kumi
Sadaka ya ujenzi
Sadaka ya nabii
Sadaka ya upebdo
Sadaka ya shukuranj
Sadaka ya kumtegemeza mchungaji
Zote hizo unatakiwa uzitoe siku 1
 
Bora hivyo mkuu, mimi kwa kweli la lunch na Bwana Yesu liliniacha hoi(KKKT hawa) RC lile la kusema sadaka irudiwe mpaka laki saba zipatikane na hapo mnaamka benchi kwa bench, na kumbuka huo /hiyo ni sadaka ya mwisho na zimeshapita kama tatu nyuma.
Hahahahah hio ndio ilitokea juzi juzi hapoπŸ˜…
 
Nimecheka Sana
 
Makanisa Mengi asa Roman Catholic yalikuwa yanapata misaada mikubwa Toka Nje ya nchi za wenzetu ila imakoma kwasasa kuendesha kanisa katoliki sio jambo Dogo kbsa
Hakika
 
Kah mbn povu
 
Amen
 
Acheni kuharibu dili za watu, kanisa ni dili kwenda mbele.
 
Nilisali kwa MWAIPOSA wakati wa kukanyaga mafuta, SADAKA zilikuwa hivi, 1 SADAKA ya TV na Redio hii anaaza 50,000 mpaka 5,000, 2 SADAKA ya kawaida, 3 SADAKA ya mwezi November ili mwezi huu uwe salama, 4 SADAKA ya Shukrani ya Mungu kukulinda, 5 SADAKA ya Kukanyaga MAFUTA hii alianzia 50,000 mpaka 1,000. Sasa huu si uwezi. Tangu siku hiyo sijarudi Tena kanisani kwake. Jamani tunaibiwa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wanainuka wanaweka pesa kweli au zuga tu...au ni mwendo wa sarafu sarafu.
 
Msicho kijua nikutofautisha makanisa yenye huduma za uwongo na makanisa yenye uduma za kweli yapo makanisa madogo ambayo yanatamani kufika katika viwango Bora .. kanisa zipo zinazo jikita kwenyo huduma yakuabudu tu na zipo kanisa zinazojikita kutoa huduma nyingi yani zitoe huduma yakiroho na kijamii

Kua mshirika wa kanisa fulani nilazima ushiriki katika kujenga maendeleo ya kanisa lako kanisa likiitaji kufungua radio ,shule , lazima kila mshirika ashiriki katika kufanikisha zoezi .. kila mtumishi wamungu wa kweli hutamani kumtangaza mungu kwa UKUBWA wake nandomana huleta miradi mikubwa kanisani ilikufanikisha ilo .. mambo Kama radio , tv , shule , kwaya , hospital ivi nivitu ambavyo humtangaza MUNGU kwa UKUBWA

Zile sadaka mnazo ziona nyingi hutolewa ili kufanikisha huduma zakanisa husika ili zisikwame .. unapotoa lazima ujue unamtolea MUNGU kwakua ukisema Ni Ela za mchungaji ungefunga safari ukampelekea nyumbani kwake .. ila mahdam unaitoa madhabauni iyo inaesabika Ni sadaka .. namungu anaeshim ilo

Kumbukeni Kuna kumuabudu MUNGU na Kuna kujenga UFALME wa MUNGU Sasa shida yenu mnapenda tu kumuabudu MUNGU ila ampendi kujenga UFALME wa MUNGU ..

MUNGU anaposema nijengeeni hekalu humaanisha kumjengea UFALME wa apa duniani .. ivyo HEKALU lazima iwe kubwa ilikujenga UFALME mkubwa ndomana watumishi hu dream big kwakuongeza huduma zaziada zakijamii ili kukusanya watu wengi ambao hao ndio wataleta vizazi na vizazi kuendeleza ilo HEKALU la MUNGU ..

Wimbo mnaoimba wakua KANISA Ni utapeli Ni agenda ya shetani kujizolea waumini na kafanikiwa kwa kiasi kikubwa Sana ..

Kuingia kanisani bila kutoa sadaka au mchango wowote nisawa nakua nafamilia afu usitoe huduma staiki Kama chakula , mavazi , Ela ya matibabu , Ela ya maendeleo ya familia .. Kama kujenga nyumba kununua gari nk. Ivyo iyo familia yako itakua yaki choko Sana ..

Mnaonga mademu maela mengi ila kwa MUNGU mnaisi mnaibiwa ... Praise the Lord
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…