Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

Hivi kati ya wewe na Bill Clinton ambaye yeye ndiye aliyesimamia huo Mchakato, unataka kujifanya wewe ndiyo una taarifa za kina kuhusu hayo makubaliano ya Oslo? Kati ya Wewe na Rais Hussain Mubarak ambaye tena yeye anamjua fika Yasser Arafat kuwa ni Mmisri mwenzao mjanja mjanja anayetaka kujinufaisha kifedha kupitia mgogoro huo, unajifanya wewe ndiyo unajua zaidi?!
Nikuambie tu kuwa Izhaki Rabin baada ya kuamua kuwapa wapalestina 96% ya Judea & Samaria iliwakera baadhi ya raia wenye siasa kali wa Israel ( Lakini siyo serikali ya Israel) ndipo akajitokeza raia mmoja akamuua. Na Serikali ilimfunga huyo raia. Hata hivyo, Clinton anakuambia kwenye hiyo video clip kuwa Viongozi wa Palestina wakiongozwa na Arafat walisaini makubaliano kwa Geresha, na bado wakakaidi kuyatekeleza. Clinton anawaambia waislamu wenzio wa Michigan kuwa sababu kubwa ya kukataa kutekeleza makubaliano hayo ni ile Azma ya Wapalestina ya kuwaangamiza Wayahudi wote na kutwaa nchi yote ya Israel.
Kwenye ile Clip ya Hussain Mubarak anasema hata ule mwaka 1948 ni wapalestina ambao walikataa maazimio ya UN ya kuunda Mataifa mawili (Jewish Pales3& Arab Palestine). Pia mwaka wa 1967 ni wapalestina ndiyo walikataa makubaliano ya amani.
SASA NYINYI WAISLAMU WA BUZZA JIFANYENI ATI MNAJUA ZAIDI YA HAWA VIONGOZI WANAOUJUA VIZURI HUU MGOGORO
Mzee hayo mengine tunalishwa tu kugeuza kibao, kwani ni nani ulimsikia akisemawasema vibaya wazayuni na akabami salama? Sawa Arafati hakutekeleza nini katika mkataba wa Oslo? Yaani mashaeti yawe Israel iachie maeneo ya Kipalestina alafu useme Wapalestina hawakutekeleza!

Hiyo mbali huyo mwakilishi wa UN aliuawa na wakina nani? Sababu gani? Ni kweli aliekaongoza kikundi kilicho muua alikuja kuwa Waziri Mkuu wa Israel? Chama cha Likud kiliwahi kuja mpango gani wa kumaliza vita ya Israel na Palestina?
 
Anasema mwaka wa 1948 wapalestina walikataa Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kuunda mataifa mawili (yaani Taifa la Jewish Palestine & Arab Palestine). Na mwaka 1967 Israel ilikubali kuachia maeneo inayokalia ili mradi Wapalestina Watambue kuwepo kwa Taifa la Israel, Wapalestina wakasema NO. Kwamba kilichochulikwa kwa Nguvu lazima kirudishwe kwa nguvu.
Wanasababu za msingi, waendelee kupambania Taifa lao
 
Anwar Saadat alikuwa na akili sana Mkushi yule.
 
Wazayuni wapo everywhere Ulaya, same as Waislamu. Tutajie matukio 2 tu ya uvunjifu wa amani uliofanywa na Wayahudi anywhere in the world halafu na sisi tuanze kukutajia matukio hata 1000 ukitaka ambayo yamesababishwa na Waislamu including Tanzania. Twende kazi, acha DATA ziongee
Ukijibiwa ni tag nipo Isevya Tabora naangalia match ya Tottenham Hotspur na Aston villa
 
Back
Top Bottom