Sadat & Hussein Mumbarak-Egypt na Clinton wanafichua kuwa Amani kati ya Israel na Wapalestina inakwamishwa na chuki ya Wapalestina

Mzee hayo mengine tunalishwa tu kugeuza kibao, kwani ni nani ulimsikia akisemawasema vibaya wazayuni na akabami salama? Sawa Arafati hakutekeleza nini katika mkataba wa Oslo? Yaani mashaeti yawe Israel iachie maeneo ya Kipalestina alafu useme Wapalestina hawakutekeleza!

Hiyo mbali huyo mwakilishi wa UN aliuawa na wakina nani? Sababu gani? Ni kweli aliekaongoza kikundi kilicho muua alikuja kuwa Waziri Mkuu wa Israel? Chama cha Likud kiliwahi kuja mpango gani wa kumaliza vita ya Israel na Palestina?
 
Wanasababu za msingi, waendelee kupambania Taifa lao
 
Anwar Saadat alikuwa na akili sana Mkushi yule.
 
Ukijibiwa ni tag nipo Isevya Tabora naangalia match ya Tottenham Hotspur na Aston villa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…