TANZIA Sadru Ndossi mmiliki wa SABA General ya Kariakoo afariki Dunia

Yaani hadi kuvaa barakoa uambiwe na serikali au usipande daladala lililojaa haya subiri serikali mkuu au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
Jamani watu wa Moshi tafadhali kuweni makini na hii misiba, tunawapelekea corona wazee wetu huko Kilimanjaro bila sababu za msingi, kwanini tusizike mahali mtu alikofia? Ya nini kupeleka mauti nyumbani? Tunahatarisha maisha ya ukoo mzima kiukweli, tuangalie utamaduni huu upya ili Kuwakinga wazee wetu.
 



luambo makiadi
 
yani mkuu kuchukua tahadhari hadi uambiwe na mstaafu wewe mwenyewe huwezi kujikinga watanzania mbona mambugila hivi

Unaweza kujikinga wewe kama wewe, but hao atakaokutananao hawafuati masharti, na wanaoishi vijijini pia hawajui kitu kinaitwa mdudu corona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…