KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hivi huyu mzee kaishia wapi, hasikiki tena siku hizi. Ubaharia umekwisha!Ohoooo !! Tabu ni kwamba atashitakiwa pamoja na wapambe wake ( chawa ) , Je Le Mutuz Nation atakosekana ?
Kweli JF imetoka mbali. Kuna nyakati Le Mutuz alikuwa anatamba JF, na hakuna wa kumwambia jambo! Naona siku hizi hata ile kuchungulia tu kimyakimya hawezi.